Haiingii akilini kabisa kuona nchi kama Tanzania eti tunaagiza mchele nje ya nchi! Yaani kivipi?

Nani atalima wakati nyie mnashinda mjini mnalalamika? Mkiambiwa mwende kijijini hamtaki. Fursa hiyo. Unataka nani alime?
Sensa inasema Zaidi ya 75% idadi ya watu Tanzania ni wakulima, Je bado hiyo idadi haitoshi ?😂
 
Aisee huwezi kuamini
Hapa nilipo tunaagiza spices za aina zote kutoka India yaani kila aina na jamii za karanga pia kama korosho na karanga
Nilijaribu kuomba sample kutoka bongo za spices daa hazikuvuka kiwango kinachotakiwa
Hata Korosho tunazo nzuri sana ila ni local sana na bei inakuwa kubwa mpaka kupata vibali vyote
Kwa hiyo bidhaa nyingi zinatoka India
Ila kuna matatizo mengi sana kwa biashara nyumbani maana hata jirani wanatuacha mbali sana
Na hiyo ndio Kazi Waziri anatakiwa kufanya, kutengeneza mazingira Mazuri Kwa wakulima wa tz 🇹🇿 kuunza mazao Yao Kwa wingi Kwa fedha za kigeni
 
Tatizo ni fedha za kigeni hapo ndio pabaya zaidi
Mkulima anauza bidhaa zake kwa majirani ila sidhani kama tunapata hela za kigeni hapo kama dollars badala yake analipa kwa shillings
Kuagiza kutoka nje sawa lakini je tunauza nini nje in return?
Kama mnaagiza kutoka je hatuna cha kuwauzia India na sisi
Wakenya warwanda wako wananunua mazao shamban Kwa TSH
 
Kitendo cha kuagiza mchele nje ya nchi siyo kitendo cha kukiacha kipite hivi hivi tu kama ni jambo la kawaida na halina maana yoyote. Jambo hili ni ishara mbaya sana na siyo dalili nzuri sana huko tuendako kama taifa.

Haiingii akilini kabisa kuona nchi kama Tanzania eti tunaagiza mchele nje ya nchi! Yaani kivipi? Kwamba Tanzania imeshindwa kuzalisha mchele wa kutosha ? Kwamba Tanzania mavuno ya mpunga hayakuwa mazuri au ni nini? Kwamba idadi ya watu imeongezeka ghafla binu vuu? Kama haya ni sahihi sasa je? Zile takwimu tunasomewaga pale bungeni na waziri bashe huwa anazitoa wapi? anapika takwimu? Anadanganywa? Au ni nini haswa?

LAKINI haya tuliyaonya mwanzoni kuwa Tanzania inauza sana chakula nje ya nchi na mazao ya chakula yanasafirishwa sana kwenda nje ya nchi ,tukajibiwa kuwa hayo ni mambo ya soko la EAC na hatujui kitu tukae kimya.

Round ya Kwanza, Mwaka 2021-2022 tuliagiza Mchele from Japan.

Round ya pili, 2024.
Sasa ivi tunaagiza kutoka India, wa Indi wenye maghala ya kuhifadhia chakula hapa Dar watapiga Sana mpunga kupitia Wazir bashe

Hali hii ni ishara mbaya sana na siyo ya kubeza kwa kuwa tunajua muda wowote tutatangaziwa kuwa kuwa uhaba wa mafuta ya kupikia nchini. Tulishakuwa na uhaba wa kila kitu hii ni dalili kuwa uchumi wa nchi yetu una suffocate na taifa liko kwenye CRISIS. Tujipange mapema na hakuna haja ya kufichaficha mambo.

Ivi ni lini SSH atakuja kugundua kuwa bashe anafanya biashara ya chakula kupitia wafanya biashara wa kubwa, pasipo Halali na kuliingiza nchi kwenye hasara ya kutumia fedha nyingi za kigeni kununua chakula na pembejeo .

Sasa hatuwezi kukaa kimya na kutohoji nchi inapita kwenye majanga ya kila aina na kila kona watu wanalalamika halafu tuone ni suala la kawaida tu . Hapana haiwezikuwa kawaida na lazima tuwe wakweli na wawazi kuwa tuna shida mahali na tuwe na majibu ya kuwapa wataanzania.

Hili suala la kuagiza mchele kutoka nje siyo la kubeza na ni suala linalotaka majibu na tafakari nzito sana.
Makonda karudishwa hushangai unashangaa "NCHELE".
 
Kuna watu mnafikiri import ni dhambi au dalili ya kushindwa. Import na export ni pande mbili za sarafu. Hakuna nchi duniani ambayo haiimport hata zile zilizoendelea. Kinachotakiwa nchi iuze zaidi nje ili ipate pesa za kuahgiza bidhaa.

Kuna watu wana taste tofauti ya kitu hicho hicho hata kama kinazalishwa nchini mwao hivyo inabidi watumie kinachoagizwa toka nje na wana haki; mfano ukienda ujerumani utakuta ntu ameagiza toyota toka Japan na ukienda Japan kuna mtu anaagiza benz tika Ujerumani. Ndivyo uchumi ulivyo nchi inachofanya inatumia nfumo wa kodi kufanya kile knachotoka nje kuwa ghali kuliko vinavyozalishwa ndani ya nchi ili kulinda viwanda vya ndani japokuwa hii inaweza kusababisha mlaji apate bidhaa mbovu za ndani kwa sababu ya kubweteka kwa wazakishaji wa ndani.
Comparstive advantage ndiyo basis ya biashara baina ya nchi na nchi. Pia ukumbuke kuna julipiziana kisasi kati ya nchi na nchi; ukizuia bidhaa ya nchi fulani naye anazuia ya kwako.

Huo mchele nenda kalime kwanza ili uone ugumu wake kabla ya kupiga kelele nchi izuie kuuza chakula nje. Mkulima analima kwa ajili ya soko kama serikali inataka hayo mazao iyabunue kupitia NFRA.
 
Mkuu umenielewa vibaya,
Haya niambie Mchele abao wakulima wa tz wameunza nje ya nchi ni $ ?
 
Kwenye wizara ya kila kuna

Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula​

Na majukumu yao ni haya:

i. Kuhifadhi akiba ya chakula toshelevu kwa mahitaji ya nchi;
ii. Kununua, kuhifadhi na kutoa akiba ya chakula ili kukabiliana na majanga;
iii. Kuzungusha na kutafuta masoko ya chakula ili kupunguza mfumuko wa bei na kuingiza mapato;na
iv. Kutoa huduma mbalimbali za uhifadhi ili kuongeza mapato.

Hivyo basi, kama tumetoka kuagiza sukari , na sasa mchele
Basi nchi kama nchi hatuna akiba ya chakula.

Mama anaupiga mwingi, mwendo ameumaliza
Miaka 10 mingine kwa mama
 
Back
Top Bottom