Haiingii akilini kabisa kuona nchi kama Tanzania eti tunaagiza mchele nje ya nchi! Yaani kivipi?

Ni aibu ya Taifa kuagiza Mchele.

Ccm hii imetufikisha pabaya
Machawa wa BASHE wanasema Wacha wakulima wa tz ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ wauze Mchele Kwa bei wanataka Huku wakinunua Mchele India Kwa dollars
 
Piganieni katiba mpya tupate viongozi wazuri. Mnawapa kina Jokate uongozi halafu mnategemea tuwe na maendeleo?
 
Na mafuta ya kupikia wataanza kuyaficha Muda si mrefu
 
Piganieni katiba mpya tupate viongozi wazuri. Mnawapa kina Jokate uongozi halafu mnategemea tuwe na maendeleo?
Mkuu waliokuwa kwenye ngazi ya maamuzi ni wakimbizi, ndio maana wanafanya maamuzi ya kuwaumiza wa tz ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ makusudi.

Madelu "kama hutaki amia Burundi"
 
Mkuu umenielewa vibaya,
Haya niambie Mchele abao wakulima wa tz wameunza nje ya nchi ni $ ?
Ukienda TRA upande wa custom utapata data mchele wa Tz umeuzwa wap i quantities value na mwaka
 
Sawa nimekuelewa,

Sasa kama wakulima wanauza chakula nje ya nchi, inamaana wamepata soko la uhakika na wanaingiza Sana faida .

Je mbona uzalishali haukui uko vile vile kila siku ?
hawakui wapi? umetembea mkoa upi na upi kufanya research zako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ