Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
CHADEMA hawana shida nao tenaZengwe lilishakwisha, CHADEMA ilishawafukuza kitambo sana, mahakama ikabariki kufukuzwa kwao, spika na CCM ya mchongo ndio wakaamua kuwakumbatia.
Wabunge wa COVID 19 ni kondomu za kisiasa zilizotumika, hazifai tena popote. Mtaani hazitakiwi, CCM hazihitajiki pia.
Kuna saa unakuwa na akili timamuUpuuzi tu
Ngoja tumuone.Dr Nchimbi
Kwa sheria za Tanzania hao siyo wabunge ndio sababu wanahangaika mahakamani
Maza kawakumbatia haswa, rufaa ni 2025Kodi za watanzania zinachezewa sana ,bado watu wenye nia njema na taifa hawaoni sababu ya kutengeneza katiba mpya???
Wanawake wa shoka, Halima Mdee na wezake wametinga Mahakama ya Rufani kutetea ubunge wao. Tuna imani Mahakama ya Rufani itawapa ushindi wa kishindo.
View attachment 2876532
Hivi hakuna namna ya lumaliza hili zengwe?.
Mbona nilisikia kuwa walishinda kesi?
Wanaenda kupigilia misumari ya mwisho
Ufisadi KWENU Sifa pambafi sana mafisiemWanawake wa shoka, Halima Mdee na wezake wametinga Mahakama ya Rufani kutetea ubunge wao. Tuna imani Mahakama ya Rufani itawapa ushindi wa kishindo.
View attachment 2876532
Kumbe hapa walipotosha? ErythrocyteHawakushinda, Mahakama ilibariki maamuzi ya kamati kuu, hovyo kwa Sasa sio wanachama.
Mpaka Oct,2025Kila la kheri kesi itachukua muda gani kusikilizwa?
Bilahawa kuwepo bungeni CCM haina 'legitimacy' wala 'moral ethics' kuwepo madarakani sasa hivi. Hawa ndio waliokiri kwamba JPM alishinda uchaguzi mkuu wa 2020 na kwamba kwa mjibu wa sheria za uchaguzi anayepata kiwango fulani cha kura anawezesha chama chake kupata wabunge wa viti maalum. Waking'olewa leo CDM ambayo haitambuii uchaguzi mkuu wa 2020, ushindi wa JPM na uteuzi wa wabunge viti maalu 19 basi haina haki kuteua wengine kwenda bungeni. Na kama hivi ndivyo basi CCM haina uhalali wa kuwa madarakani ni sharti uchaguzi mwingine uitishwe mara moja sio 'substitution' waliyoikamia CDM kuifanya endapo kama bunge litaridhia kuwafukuza.Wanawake wa shoka, Halima Mdee na wezake wametinga Mahakama ya Rufani kutetea ubunge wao. Tuna imani Mahakama ya Rufani itawapa ushindi wa kishindo.
View attachment 2876532
Bilahawa kuwepo bungeni CCM haina 'legitimacy' wala 'moral ethics' kuwepo madarakani sasa hivi. Hawa ndio waliokiri kwamba JPM alishinda uchaguzi mkuu wa 2020 na kwamba kwa mjibu wa sheria za uchaguzi anayepata kiwango fulani cha kura anawezesha chama chake kupata wabunge wa viti maalum. Waking'olewa leo CDM ambayo haitambuii uchaguzi mkuu wa 2020, ushindi wa JPM na uteuzi wa wabunge viti maalu 19 basi haina haki kuteua wengine kwenda bungeni. Na kama hivi ndivyo basi CCM haina uhalali wa kuwa madarakani ni sharti uchaguzi mwingine uitishwe mara moja sio 'substitution' waliyoikamia CDM kuifanya endapo kama bunge litaridhia kuwafukuza.
Sasa wamekata rufaa, huwatoi bungeni tena na uchaguzi wa 2025 huo uko mlangoni. Hata kama CDM itakataa kuwateua kugombea jimbo lolote TZ wana CV tayari ya kukubalika na chama kingine kuwakirisha na watashinda maana wameonesha uwezo wao wa kujenga hoja bungeni.
MBONA MLISEMA HALIMA NA WENZAKE WAMESHINDA KESI SASA INAKUWAJE WAKATE TENA RUFAA?Wanawake wa shoka, Halima Mdee na wezake wametinga Mahakama ya Rufani kutetea ubunge wao. Tuna imani Mahakama ya Rufani itawapa ushindi wa kishindo.
View attachment 2876532
Hii kitu iko juu ya uwezo wako wa kuelewa.Nyie CHADEMA mnavyomkataa hadi yule mama aliyechaguliwa na wananchi huwa mnawaza nini?
Hawa ndiyo mlileta uzi hapa mkasema wameshinda. Kama walishinda wamekata rufaa ya nini?Wanawake wa shoka, Halima Mdee na wezake wametinga Mahakama ya Rufani kutetea ubunge wao. Tuna imani Mahakama ya Rufani itawapa ushindi wa kishindo.
View attachment 2876532
Hongera mwanamke mwenzake MdeeWanawake wa shoka, Halima Mdee na wezake wametinga Mahakama ya Rufani kutetea ubunge wao. Tuna imani Mahakama ya Rufani itawapa ushindi wa kishindo.
View attachment 2876532
COVID 19 wa ccm ya Jiwe na msaidizi wakeThe covid 19
Umeonae eeeeBahari aikai na UCHAFU....
Chama chao ccm2025 ni kesho kutwa, watagombea ubunge kupitia Gani cha siasa?