Haijaisha mpaka iishe: Halima Mdee na wenzake waiburuza CHADEMA Mahakama ya Rufani dhidi ya uamuzi wa Mahakama Kuu

Wamekata rufaa baada ya kuona mahakama imeukubali uamuzi wa Kamati kuu.
 
Hawakushinda, Mahakama ilibariki maamuzi ya kamati kuu, hovyo kwa Sasa sio wanachama.
Kumbe hapa walipotosha? Erythrocyte
 
Wanawake wa shoka, Halima Mdee na wezake wametinga Mahakama ya Rufani kutetea ubunge wao. Tuna imani Mahakama ya Rufani itawapa ushindi wa kishindo.
View attachment 2876532
Bilahawa kuwepo bungeni CCM haina 'legitimacy' wala 'moral ethics' kuwepo madarakani sasa hivi. Hawa ndio waliokiri kwamba JPM alishinda uchaguzi mkuu wa 2020 na kwamba kwa mjibu wa sheria za uchaguzi anayepata kiwango fulani cha kura anawezesha chama chake kupata wabunge wa viti maalum. Waking'olewa leo CDM ambayo haitambuii uchaguzi mkuu wa 2020, ushindi wa JPM na uteuzi wa wabunge viti maalu 19 basi haina haki kuteua wengine kwenda bungeni. Na kama hivi ndivyo basi CCM haina uhalali wa kuwa madarakani ni sharti uchaguzi mwingine uitishwe mara moja sio 'substitution' waliyoikamia CDM kuifanya endapo kama bunge litaridhia kuwafukuza.

Sasa wamekata rufaa, huwatoi bungeni tena na uchaguzi wa 2025 huo uko mlangoni. Hata kama CDM itakataa kuwateua kugombea jimbo lolote TZ wana CV tayari ya kukubalika na chama kingine kuwakirisha na watashinda maana wameonesha uwezo wao wa kujenga hoja bungeni.
 
Kukata rufaa haiwapi uhalali wa kuwa wanachama wa CHADEMA
 
Back
Top Bottom