Haijalishi umepania namna gani, waza mara mbili. Hakuna kitu kinauma kama kumeza dawa za ARV kila siku maisha yako yote

Ujumbe maridhawa kwa jukwaa linaloongoza kwa wasomaji na wachangiaji.

Haijalishi umepania namna gani, Think Twice. Hakuna kitu kinauma kama kumeza dawa za ARV kila siku maisha yako yote,

UMEME UPO! Msijisahaulishe
Wewe mkuu umejuaje kama kinauma?
 
Mimi Kuna li mkaka la Kihaya nilikuwa nalo kwenye husiano nikasex nalo kusema ukweli tangu siku hiyo sina amani maana niliumwa Fungus baada tu ya kusex nae… tangu mwezi wa 11 mpk Leo sitaki hata kuliona,, halafu nilimwambia twende zahanati tukapime akagoma akasema tununue vipimo tupimie home… wakuu yaani naogopaa kupima kabisaa na wakati mimi huwa sio muoga kwenye suala la kupima ila niliteleza kwa huyu jamaa wa Ntukula navurugwaa 🤣🤣🤣🙌🏻
 
Umetembea na wangapi we binti
 
Halafu unakuta Kijana upo pale Rusumo-boda unapiga tu kavu Fresh, mpaka Runzewe mpaka kule Kiaze kwa za kinyarwanda.. Loh

Inakuaje mtu anafika sehemu anaacha kutumia dawa.?? Maana wengi wanaoondoka, mtaani utasikia 'Alistop kutumia dawa'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…