πππ kuna tuzo unatoaUmetembea na wangapi we binti
KizamaniHii kitu ni noma.
Ukinywa maji Nyumbani glass yako watu wanaikwepa kwepa.
Mtu akitaka kuiosha anavaa Gloves.
We hii hali isikie kwa jirani tu
Yeah! Maana sio poa aseeπππ kuna tuzo unatoa
Ukishakojoa tu pale akili itakukaa sawa.Ila ukiambukizwa ngoma na pisi kali hatari huwez hata kuumia sanaView attachment 3198931
Nenda hospital yoyote tu uliza kitengo cha ctc, tulia pale ungoje pisiCtc ndio wapi huko mie nataka hizo pisi kali
Mkuu ukitaka upotee kwenye game sikiliza ushauri wa mzabKijana wa ovyo ujawahi kuwa na ushauri wa maana
Yeah...usije ukaliona limenona ukatanguliza nyege mbere.Duh mlienda kupima
Tutazika wengi sana 2035Vijana hawana habari wanapiga tu Barefooted....
Pole sana mtumishYeah...usije ukaliona limenona ukatanguliza nyege mbere.
Umekwisha
Noma sana Mtumishi....nilipata somo kubwa sana.Pole sana mtumish
Ubalikiwe sana ROHO wa MUNGU alikuongoza vyemaNoma sana Mtumishi....nilipata somo kubwa sana.
Hivi ni kweli ndomu inasaidia kukata umeme..CTC zinaingia pisi haswa, ndom muhimu sana.
Na ndio tunampango wa kustopisha ARV vuup....Tutazika wengi sana 2035
HahahaaNa ndio tunampango wa kustopisha ARV vuup....
Asee mbona mitaa itanuka.
Ndio inasaidia mkuuHivi ni kweli ndomu inasaidia kukata umeme..
Usikilizwe u a point. Mie sielewi kabisa mtu anagegedaje na condom jamani...yaani ni bora ukapige nyeto na mlenda vuguvugu tuu ijulikanw moja.Nikivaa kondom huwa sihisi ladha yoyote.kwani hizo dawa ni chungu kiasi gani,ukilinganisha na utamu wa mbususu?
Tunashukuru kwa kutukumbusha nduguUjumbe maridhawa kwa jukwaa linaloongoza kwa wasomaji na wachangiaji.
Haijalishi umepania namna gani, Think Twice. Hakuna kitu kinauma kama kumeza dawa za ARV kila siku maisha yako yote,
UMEME UPO! Msijisahaulishe