Kuna waliamua na majonzi baada ya zoezi zima la uchaguzi na matukio yake 28/10/2020. Ni haki ya kikatiba kufanya maandamano pale unapotaka kupaza sauti kukemea jambo usiloliridhshwa nalo.
Baada ya raia wenzetu kupoteza maisha kule Visiwani, wengi wetu tumeingia uwoga. Haki hupewi mkononi, haki hupiganiwa. Ni uamuzi wetu kuishi utumwani kwa amani au kupigania uhuru wetu.
Kuna makabila ninayoyaamini, yakianza hayo wangine wataingia. Hali ilivyo sasa hivi ni nani na jinsi ya kunvunja barafu. Hali ikianza upande mmoja tutajulishana kwa VPN, dunia ni ya kijiditali siku hizi.
Naona hata ile siku ya kuzaliwa ya “mshindi” haina shamra shamra leo.