Bantugbro
JF-Expert Member
- Feb 22, 2009
- 4,473
- 4,252
Haya sasa ngoja tuone kama vyama vyako vya mifukoni mwa mabeberu kama vitafanikiwa. Kama unalilia demokrasia halafu unadharau vyama vingi kuviona ni vya mifukoni kamwe Hutafanikiwa kwa maana vyote vipo kihalali na kisheria na vilishirikivuchaguzi na kukubskia matokeo. Sasa sijui utafanyaje🙂Vyama vya mfukoni ndivyo vinakupa mzuka, halafu hivi mbona aliyechaguliwa amepiga kimya hajatolea neno la kushukuru, ni nyie mataga mumetelekezwa mpambane kwenye mitandao kujaribu kuhalalisha, miaka yote kijani mkishinda huwa mnatokea barabarani kusheherekea, mwaka huu naona imekua kama msiba licha ya kushinda kwa asilimia 100%
Naona hata mwenzenu kawasusa....
![]()