Haijatokea duniani, Watanzania wafaulu kufuta upinzani

Tatizo kubwa nilililoliona ni asilimia kubwa ya watu kutojitokeza kupiga kura!!! Ukiangalia uwiano utaona kuna shida.... Almost robo tatu ya waliojiandikisha hawajaenda kupiga kura!!!kwa kifupi watu wako puzzled bado si CCM wala upinzani...2025 maandalizi yaanzie kwenye hili kundi.
 
Wacha kusingizia wapiga kura. Mumeiba kura. Kubali yaishe.
 
Wewe unaongea ukiwa USA ukienjoy maisha halafu unatetea huu upupu uliofanyika? Hata huna haya?
Haya ya nini wakati najua ndugu zangu wanapata maendeleo chini ya Maghufuli??
He is the MAN we want, wether you and your NGOs like it or not. We have the real deal and he wants a rubber stamp legislature, and he got it.
Just watch!
 
Mgombea wa CHADEMA, Aida Khenani ameshinda Ubunge Jimbo la Nkasi Kaskazini baada ya kupata kura 21,226 akifuatiwa na Ally Keissy (CCM) aliyepata kura 19,972.

#UchaguziMkuuTanzania2020
FB_IMG_16040303740883152.jpg
 
Haya ya nini wakati najua ndugu zangu wanapata maendeleo chini ya Maghufuli??
He is the MAN we want, wether you and your NGOs like it or not. We have the real deal and he wants a rubber stamp legislature, and he got it.
Just watch!
Usije kunililia wakati kitumbua kimeingia mchanga.
 
Malipo ya dhuluma ni laana na kifo

Laana ya mungu iwapate wote walioshinda kwa dhulma na wizi

Baraka za mungu ziambatane na walioshinda kihalali na walio tayari kuwatumikia wananchi
AMEN
 
Back
Top Bottom