dong yi
JF-Expert Member
- Jan 31, 2016
- 5,906
- 8,243
Niliwahi kuambiwa mzee kenyatta Jomo alimwambia mwalimu Nyerere kwamba yeye kenyatta anaongoza watu waliolala (wakiamka watadai haki zao), lkn Nyerere anaongoza maiti (haziwezi kuamka)!
Sijui kama hii kauli imewahi tolewa kweli, ila watanzania ni maiti (bora wangekua misukule wangelalamika hata kidogo)
Sijui kama hii kauli imewahi tolewa kweli, ila watanzania ni maiti (bora wangekua misukule wangelalamika hata kidogo)