Haijatokea duniani, Watanzania wafaulu kufuta upinzani

Sasa kwani umekuwa mwanamke? Mbona unasema puleeaseee? Hata mikono unarusha kwenye hewa? Na mdomo unapindisha pia?
 
Kuna waliamua na majonzi baada ya zoezi zima la uchaguzi na matukio yake 28/10/2020. Ni haki ya kikatiba kufanya maandamano pale unapotaka kupaza sauti kukemea jambo usiloliridhshwa nalo.

Baada ya raia wenzetu kupoteza maisha kule Visiwani, wengi wetu tumeingia uwoga. Haki hupewi mkononi, haki hupiganiwa. Ni uamuzi wetu kuishi utumwani kwa amani au kupigania uhuru wetu.

Kuna makabila ninayoyaamini, yakianza hayo wangine wataingia. Hali ilivyo sasa hivi ni nani na jinsi ya kunvunja barafu. Hali ikianza upande mmoja tutajulishana kwa VPN, dunia ni ya kijiditali siku hizi.

Naona hata ile siku ya kuzaliwa ya “mshindi” haina shamra shamra leo.
 
Hata kama uchaguzi ulikua na mapungufu tukubali matokeo?
Kuna mapungufu ya kutengeneza Kama scene za James Bond. Ndio maana watanzania wamempuuza kila mtu anajua hata wewe unajua Rais wa mioyo ya watanzania ni Magufuli.

Tanzania twajifahamu mtu anacheka usoni kumbe moyoni anakusubiri kwenye box la kura
Muulize makonda anawajua vizuri watanzania
 
Mkuu
Mbona kuhamasishana sana mitandaoni.
Mitaani ndiko wanaishi wananchi. Unataka kabila gani lianze?
 

Wachaga wameikataa chadema RASMI, hao ndiyo pekee waliokuwa labda tayari kufa kwa ajili ya chadema, laana ya kumtukana, kumdhalilisha na kumdhihaki Mzee E.Lowasa ambaye 2015 aliiletea chadema kura zaidi ya milioni 6 vs milioni 8 za CCM, Wabunge zaidi ya 70, chadema iliongoza Miji na Halmashauri, walitoa Meya wa Dar na Miji mingine mikubwa lkn mlimtukana Mzee Lowasa, sasa laana imewarudia, bado, BTW Zito Kabwe chaliiiii, ...
 
Ilipaswa waachie hata watano hivi wa kuzuga, sio unakomba kila kitu bila kupepesa macho.
2015 walichaguliwa, lakini kabla ya 2020 baadhi yao walirudi CCM. Kwa Tanzania ni vigumu kujua yupi mamluki na yupi mpinzani kweli. Inaaminika kila moja ana bei. Mpaka sasa CUF wamepata mmoja ngoja tuone mpak jioni itakuaje.
 
Tatizo vijana wa bongo wanapiga kelele kwenye social media. Kupiga kura hawaendi. Unategemea nini hapo???? Hiyo ya waliojiandikisha wengi na kupiga kura wachache ni porojo za kutazanania tu, ndiyo maana aliyandika hajataja hata jimbo. Wewe unajua watanzania tulivyo na prorojo nyingi, hasa Chadema.
 
Surely this is so bad. Ila tumejichimbia kaburi wenyewe
 
Chama kikuu cha upinzani CUF kina mbunge mmoja tu,mzigo wote wa ruzuku anakula Lipumba, Lipumba kama namuona anavyo sonsomola mihela ya ruzuku.
 
Maneno yakipumbavu Huongea Wapumbavu jamii yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…