Haijatokea duniani, Watanzania wafaulu kufuta upinzani

Haya sasa ngoja tuone kama vyama vyako vya mifukoni mwa mabeberu kama vitafanikiwa. Kama unalilia demokrasia halafu unadharau vyama vingi kuviona ni vya mifukoni kamwe Hutafanikiwa kwa maana vyote vipo kihalali na kisheria na vilishirikivuchaguzi na kukubskia matokeo. Sasa sijui utafanyaje🙂
 

Naona hata imeshindikana kutoa shukrani licha ya kushinda kwa asilimia 100%
 
Hujui kitu wewe, huyo mbunge unaye mquote hapo hakushinda by 100 % wapo washindani wake karibu waliopata kura nyingi pia na wenye wafuasi pia, so nothing Strange kama a small bunch of folks wakawa wamechukia Kushindwa, but all in all demokrasi ni sauti ya walioshinda a.k.a sauti ya wengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…