ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,665
Hiyo hela ni ya shows tano tu kwa Diamond.
Show moja ya Huyo Abdul Nasib ni bei gani kwani?
Kama namuona Ruge anavozitolea mimacho hizo Namba.
nakubaliana na wewe kabisa....ay uzur wake hajisimfii ila anahela sana
AY si mtoto wa upanga, rudi kafanye research vizuri.nakubaliana na wewe kabisa....
kimsingi AY amezaliwa kwenye hela so hazimtii wazimu(mtoto wa upanga yule).... shida ni wale wa tandale wakizipata afu ukizingatia shule kichwani ni ndogo.. huwa wanapenda kila mtu ajue wamezipata.
AY ambaye anafahamika sanaAY si mtoto wa upanga, rudi kafanye research vizuri.
naomba uwatajeSio kila aliyekuwa east coast team origin yake ilikuwa upanga.......kulikuwa na watoto wa morogoro, dodoma kiwalani etc....!!
AY ambaye anafahamika sana
nchini Tanzania , Kenya , Uganda , Rwanda,
Burundi hadi Kusini mwa Afrika. Vile vile alikuwa
mwanakikundi wa East Coast
Team linaloongozwa na Gwamaka Kaihula aliye
maarufu kama King Crazy GK, na
mwenzake Khamis Mwinjuma maarufu
kama Mwana Falsafa au Mwana FA. Kundi hilo
la Muziki lina maskani yao Upanga jijini Dar es
salaam .
source: watu smart entertainment.
Haha umenfurahisha et almtoa knock out lissu[emoji2]Usitegemee mambo kuisha kirahisi hivyo yangeshaisha mbona. Albert Msando mwanasheria wao yupo vizuri alimtoa knock out Lissu mchana kweupee.
Kitu kitapigwa pinguzo hadi kwenye 400 hivi kama siyo 200. Sidhani kama kuna justification ya hizo bili, maana hata mauzo yao binafsi kwa ujumla hayawahi kufika huko.
Kwahiyo ndiyo wanakuwa wasanii matajiri kwa E.A ????? ( niliyemjibu ndicho nilichomueleza kuwa hawawezi kuwa matajiri wa muziki kwa E.A LABDA KAMA WEWE UNA MAANISHA KUWA UTALETA HUO NILIOULIZA PALE NA NIKAKOSA JIBU )Kwa hiyo unamaanisha hiyo ndio Pesa yao ya kwanza wamepata tangu kuanza muziki!? KKabla Diamond hajaanza muziki hao akin a AY na Fa walikuwa hawaingizi pesa!? Unadhani tangu Fa na AY waanze muziki wmeingiza fedha kiasi gani na huyo Diamond ameingiza kiasi gani!?
Sio za tiffah tu zao wote mimi ndio mfuaji, vp wewe unaendelea kufua chupi za Sepetu au umeacha ndio mana unanicheka mimi ???We utakuwa mfua nepi za tiffer ww sio bure
Lete yako "unayodhani" ndio sahihi kisha unadai mimi uthibitisho wa nilichokieleza.Thibitisha. Sio poyoyo za huko manzese unaleta humu.
Lete yako "unayodhani" ndio sahihi kisha unadai mimi uthibitisho wa nilichokieleza.
Haya wewe mwenye NAKALA za hiyo MIKATABA weka hapa ili tuone unachomaanisha ni sahihi ???team diamond sound mnapenda kulazimisha mambo sana nyie utafikiri anapoenda kusign hiyo mikataba anawaletea nakala,marangapi anapiga show za bure huko kiwanja anakoenda zaidi anaambulia kufanya shopping..!!jinsi AY alivyo wafungua na kuwatoa tongotongo wasanii wenu wakibongo wanao penda umaarufu wakati wananuka njaa utasikia kesho kesizitavyo rindima huko akiwemo na huyo mond
Haya ndio mambo tunayoyataka kwa wasanii wetu. Haipendezi kulalamika. Hawa wamethubutu kudai haki zao na wamezipata.