Kwani wewe ulitaka shoo za wapi ndio awe na mpunga mrefu ?????show za wapi? Darlive?
Utafanyaje justification wakati hakukuwa na contract Mkuu?Sasa ni lazima ufanye justification wewe mlalamikaji, mahakama inaweza kuwaamuru Tigo walete hesabu zao za mauzo ili ibainishe ni kiasi gani kilipatikana hapo.
Then itatumika fair price kufanya mahesabu na kujua ni kiasi gani kinatakiwa kulipwa kwa kina AY na FA, ni kazi sana haya mahesabu.
Sasa ni lazima ufanye justification wewe mlalamikaji, mahakama inaweza kuwaamuru Tigo walete hesabu zao za mauzo ili ibainishe ni kiasi gani kilipatikana hapo.
Then itatumika fair price kufanya mahesabu na kujua ni kiasi gani kinatakiwa kulipwa kwa kina AY na FA, ni kazi sana haya mahesabu.
Utafanyaje justification wakati hakukuwa na contract Mkuu?
Utafanyaje calculation wakati hakukuwa na mkataba Bro.
Hoja yako ina mashiko kama kina Ay wangelalamika kupunjwa hela za mauzo ,hapo ingekua sawa.
Tigo wangepeleka mkataba na kueleza kuwa tulikubaliana kiasi flani,na kimepatikana hiki.
Tigo walichofanya ni uwizi,kujipatia fedha kwa kutumia mali ya mtu mwingine bila ruhusa yake.
nilimquote sumu please siyo weweKwani wewe ulitaka shoo za wapi ndio awe na mpunga mrefu ?????
Hiyo hela ni ya shows tano tu kwa Diamond.
Hata Bell 9 anafanya shoo na kuuza nyimbo, je linapokuja swala la ni nani msanii mwenye mkwanja mrefu tutamuingiza kisa nae anafanya shoo na kuuza nyimbo ?????
Kwani wewe unayemponda kila unapoona uzi unao muhusu yeye amekufanya nini ......... au wewe ni ali kiba.
Muulize Muhando ndiye alikuwa wakili wao.. Muhando ni kichwa
MmmmhKwani wewe ulitaka shoo za wapi ndio awe na mpunga mrefu ?????
Acha kutafuta msaada hayo maneno siku sema kama vp ilete hapa hiyo komenti yangu yenye maneno hayo uniumbue kama ni kweli.Wewe si umesema diamond anafanya show na kuuza nyimbo hivyo yeye pekee ndiye tajiri kuliko wote
soma magazeti ya kiswahili, naona hilo la kizungu limefutikafutikaSikuona hii habari wameenda court kuishtaki tigo kwa kosa gani wadau...?.
Kwani kuna uzi ulishaletwa hapa jamvini.
Hasara utaipimaje. Hiyo kesi inahusu hakimiliki.Okay, hakukuwa na contract, kwa hiyo unaamua kucharge kiasi chochote?
Bila kuangalia hasara iliyosababishwa?
Hasara utaipimaje. Hiyo kesi inahusu hakimiliki.
Na ni aina ya kesi zinazokuwa na fine kubwa duniani.maana huwezi kadiria ile kazi ingeingiza kiasi gani.
Pengine zile caller tune zingetumiwa na voda pekee zingegenerate bilioni 5,so huwezi jua sababu haijatokea.
Bilioni moja? Yaani milioni elfu moja ni show tano za Diamond? Serious?Hiyo hela ni ya shows tano tu kwa Diamond.
Acha kukaririshwa,bilioni ni pesa nyingi sana lakini usiseme eti ndio watakuwa wasanii matajiri kwa E.A. DIAMOND keshazipita hizo hesabu siku nyingi sana kwa ubalozi wake tu kwenye makampuni unatosha kuingiza hizo hela na zaidi sikuambii show wala mauzo ya nyimbo zake kwenye mitandao.
soma magazeti ya kiswahili, naona hilo la kizungu limefutikafutika
Kwahiyo unanidai saa,dakika na tarehe ulizokomenti kuponda na kusifia ( muda huo sina) kwahiyo unataka kuniambia mimi komenti zako ndio nakutana nazo leo si ndio au hilo jina umeanza kulitumia leo ?????????Ni wapi nimemponda diamond na wapi nimemsifia huyo ali kiba
Hiyo hela ni ya shows tano tu kwa Diamond.