Haijawahi tokea, Mwana FA na AY kulipwa bil 2 tshs na Tigo

Sasa ni lazima ufanye justification wewe mlalamikaji, mahakama inaweza kuwaamuru Tigo walete hesabu zao za mauzo ili ibainishe ni kiasi gani kilipatikana hapo.

Then itatumika fair price kufanya mahesabu na kujua ni kiasi gani kinatakiwa kulipwa kwa kina AY na FA, ni kazi sana haya mahesabu.
Utafanyaje justification wakati hakukuwa na contract Mkuu?

Utafanyaje calculation wakati hakukuwa na mkataba Bro.
Hoja yako ina mashiko kama kina Ay wangelalamika kupunjwa hela za mauzo ,hapo ingekua sawa.
Tigo wangepeleka mkataba na kueleza kuwa tulikubaliana kiasi flani,na kimepatikana hiki.
Tigo walichofanya ni uwizi,kujipatia fedha kwa kutumia mali ya mtu mwingine bila ruhusa yake.
 
Okay, hakukuwa na contract, kwa hiyo unaamua kucharge kiasi chochote?

Bila kuangalia hasara iliyosababishwa?
 
Hata Bell 9 anafanya shoo na kuuza nyimbo, je linapokuja swala la ni nani msanii mwenye mkwanja mrefu tutamuingiza kisa nae anafanya shoo na kuuza nyimbo ?????

Wewe si umesema diamond anafanya show na kuuza nyimbo hivyo yeye pekee ndiye tajiri kuliko wote
 
Acha kutafuta msaada hayo maneno siku sema kama vp ilete hapa hiyo komenti yangu yenye maneno hayo uniumbue kama ni kweli.
 
Okay, hakukuwa na contract, kwa hiyo unaamua kucharge kiasi chochote?

Bila kuangalia hasara iliyosababishwa?
Hasara utaipimaje. Hiyo kesi inahusu hakimiliki.
Na ni aina ya kesi zinazokuwa na fine kubwa duniani.maana huwezi kadiria ile kazi ingeingiza kiasi gani.
Pengine zile caller tune zingetumiwa na voda pekee zingegenerate bilioni 5,so huwezi jua sababu haijatokea.
 
Ngoja tusubiri, ninachowapendea The Citizen hii habari wataendelea kutujulisha mpaka mwisho wake, tofauti na haya magazeti mengine ya kuleta habari za matukio tu.
 
Acha kukaririshwa,bilioni ni pesa nyingi sana lakini usiseme eti ndio watakuwa wasanii matajiri kwa E.A. DIAMOND keshazipita hizo hesabu siku nyingi sana kwa ubalozi wake tu kwenye makampuni unatosha kuingiza hizo hela na zaidi sikuambii show wala mauzo ya nyimbo zake kwenye mitandao.

Hapo umesemaje?? Diamond kwenye makampuni inatosha kupata billion ukiweka na show na kuuza nyimbo ndio atakuwa tajiri zaidi ya wote au unakana ulichoandika?
 
Ni wapi nimemponda diamond na wapi nimemsifia huyo ali kiba
Kwahiyo unanidai saa,dakika na tarehe ulizokomenti kuponda na kusifia ( muda huo sina) kwahiyo unataka kuniambia mimi komenti zako ndio nakutana nazo leo si ndio au hilo jina umeanza kulitumia leo ?????????
 
Back
Top Bottom