Haijawahi tokea, Mwana FA na AY kulipwa bil 2 tshs na Tigo

Kwahiyo unanidai saa,dakika na tarehe ulizokomenti kuponda na kusifia ( muda huo sina) kwahiyo unataka kuniambia mimi komenti zako ndio nakutana nazo leo si ndio au hilo jina umeanza kulitumia leo ?????????

Niquote nilipomsifia ali kiba humu JF na ukipata nipigwe life ban
 
Usije mjini hii Ngoma ilitamba sana Mungu awasaidie rufaa iende pouwa walipwe haki yao maana makampuni ya simu yamezidi kutulangua wateja wake Na bado hili la wafanyakazi wenu kushirikiana Na wezi kuwaibia watu ela zao kwenye simu mkicheza nalo litawakosti makampuni yote ya simu
 
Haijalishi diamond hiyo hela anayo au hana kinachotakiwa ni haki kutendeka tu kama kina fa na ay watapata watongezea na zile walizokuwanazo na wote hatuwezi kulingana kimaisha
 
Niquote nilipomsifia ali kiba humu JF na ukipata nipigwe life ban
Nimeshakwambia hiko kibarua cha kuzitafuta komenti zako za KUSIFIA na KUPONDA siifanyi ( ni bora zingekuwa kwenye uzi huu ningeifanya )
 
well done...hakuna janja janja tena io inaitwa ukinipiga shavu la kushoto sigeuzi la kulia bali nakutolea beto na bisibisi
 
Nimeshakwambia hiko kibarua cha kuzitafuta komenti zako za KUSIFIA na KUPONDA siifanyi ( ni bora zingekuwa kwenye uzi huu ningeifanya )

Ndio ujue unachoongea hapa ni uzushi
 
Wakati wengine wakisikia nyimbo zao kwenye miito ya simu wanafurahi wamekuwa maarufu awa kusikia nyimbo zao zinatumika na tigo wakaenda mahakamani kudai malipo kwani tigo wamefanya biashara kutumia bidhaa yao.
Umeona eeh!! Vijana wanajielewa na kujua thamani ya kazi yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…