Tetty
JF-Expert Member
- Jan 6, 2012
- 26,355
- 21,411
nimeipenda hii tigo waache ujanja ujanja
Siyo Tigo wote wanaotake for granted Tanzanians.Watupe heshima yetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nimeipenda hii tigo waache ujanja ujanja
Hongera kwao.
Wema ameshawahiNaomba namba zao mwenye nazo ili niwashike urafiki fasta
Kwahiyo unanidai saa,dakika na tarehe ulizokomenti kuponda na kusifia ( muda huo sina) kwahiyo unataka kuniambia mimi komenti zako ndio nakutana nazo leo si ndio au hilo jina umeanza kulitumia leo ?????????
Na wewe ni "MUOMBEA MABAYA WAKE"Atakuwa mshika pembe wake ..
Wema ameshawahi
hahahahahahahhahahahahahahahahahahahahahahah😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀Wema ameshawahi
Mkuyati Kiongozi, jino linapona lenyewe.Hahahaaaa......nimecheka kwa sauti na kusababisha maumivu ya jino yarudi palepale..haya nitajie dawa nzuri ya jino.
Diamond kafata Nini tena hapo? Wabongo bhana, huyo diamond hana lolote!
VIP bado hujarud Safar nini? LohSasa heshima kwa wasanii itakuwepo.
Nimeshakwambia hiko kibarua cha kuzitafuta komenti zako za KUSIFIA na KUPONDA siifanyi ( ni bora zingekuwa kwenye uzi huu ningeifanya )Niquote nilipomsifia ali kiba humu JF na ukipata nipigwe life ban
Nimeshakwambia hiko kibarua cha kuzitafuta komenti zako za KUSIFIA na KUPONDA siifanyi ( ni bora zingekuwa kwenye uzi huu ningeifanya )
IPI hiyo?..na bado AY ana KESI nyingine na yeye J Martins ,wamewashtaki AIRTEL
Kabisa aisee. Hawa vijana wawili nawakubali mno. Hawana skendo za kitoto/kipuuzi.Hongera kwao.
hivi Wema alikuepo mahakamani kipindi hukumu inatolewa..?Naomba namba zao mwenye nazo ili niwashike urafiki fasta
Seriously!!!! Sooo what???? Hivi kila topic lazima huyu "timu" wenu mumuingize hata kama hahusiki!!😡Hiyo hela ni ya shows tano tu kwa Diamond.
Umeona eeh!! Vijana wanajielewa na kujua thamani ya kazi yaoWakati wengine wakisikia nyimbo zao kwenye miito ya simu wanafurahi wamekuwa maarufu awa kusikia nyimbo zao zinatumika na tigo wakaenda mahakamani kudai malipo kwani tigo wamefanya biashara kutumia bidhaa yao.