Haijawahi tokea, Mwana FA na AY kulipwa bil 2 tshs na Tigo

Watu wengi naona hawajaelewa hii habari ama ni hawajasoma vizuri hiyo habari...akina AY walifile suit mahakamani wakiidai tigo 4.3 b kama damages plus 25 millions kama general damages nadhani walishindwa kuiprove hyo 4.3 hivo mahakama ikawa award hyo 2.18b ilioona inafaa kuwa awarded..ikumbukwe hapa pande zote mbili zinayo haki ya kukata rufaa kama zitakua hazijaridhika na maamuzi ya mahakama.
 
Hongera zao hawa majamaa wamekomaa toka kitambo. Tunazid kuwa na wanamuziki mabilionea. Hehe Tanzania we acha tu safi sana.
 
team diamond sound mnapenda kulazimisha mambo sana nyie utafikiri anapoenda kusign hiyo mikataba anawaletea nakala,marangapi anapiga show za bure huko kiwanja anakoenda zaidi anaambulia kufanya shopping..!!jinsi AY alivyo wafungua na kuwatoa tongotongo wasanii wenu wakibongo wanao penda umaarufu wakati wananuka njaa utasikia kesho kesizitavyo rindima huko akiwemo na huyo mond
 
Kama wewe ndugu mteja ulishawahi kutumia hii caller tune utalipa tuu, hakuna jinsi
 

Unamtuhumu mwenzio na wewe unaongea kama yeye! emu na wewe thibitisha hapa kuwa Diamond anaenda kufanya show za bure ulaya!
 
Naona umekazania sana hii kitu Bro.
Una sababu za msingi kutetea hoja yako?

Root anafanya reasoning ya kawaida, kama kwenye mauzo ya biashara zako hujawahi kuuza mziki mmoja kwa zaidi ya sh mil 200, usikae utegemee kuna mtu atakulipa zaidi ya kile ambacho hujawahi kukipata eti kisa katumia mziki wako.

Logic inakuwa ni kwamba kwa yeye kutumia mziki wako, amekuingizia hasara sawa na ile ambayo ungeipata kama asingeutumia mziki wako, sasa ni kazi ya mlalamikaji kuleta hesabu kamili za ni kiasi gani huwa anapata kwa mziki wa namna hiyo kama hakuna wizi uliofanyika.

Na kwa taifa letu hatuna reference cases zinazocover area ya copyright kwa wasanii, kama unakumbuka hata lile bango la ZZK anashauri nini kifanyike, na kama hakuna kilichofanyika zoezi ni gumu kwa hao jamaa kulipwa hiyo hela. Tena bil 2.18 inaitwa Special Damages.
 
Naomba uniunganishe kule kwenye tatizo letu
Ntakusue kweli, Sasa tumalizie tatizo hapa hapa, Kama nlivosema awali simu yangu haionyeshi chochote. Hâta hao mods siwaoni, pm siioni? Picha sizion Hadi avatar za watu sizion
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…