Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu washajiendeleza we unaongea past tense......sema ulikua unamjua sio unamjua.Wabongo mnafatilia hadi ada asee.Namfahamu Sana, kasoma Mbeya O level hela yenyewe ya Ada mwaka wa mwisho badala ya kulipa Ada akaamua kuja Dar kurecord ngoma yake ya kwanza, bahati nzuri ikamtoa...!
acha kutumia nguvu pasipo na sababu we mwenyewe nina mashaka na wewe 😱😱😱😱😱😛😛😛😀😀😀😀Ukiambiwa ulete watu waloenda shule utaenda kuleta form four!? Miaka ya Leo!! Ilikua zamani...
hahahaha padere doctor slaa muongoo............wawalipe tu maana hakuna namna nyingine...tumechoka kuona wadosi wakinufaika na nyimbo za wasanii huku wasanii wakiendelea kushindia mihogo kama dr slaa.
AY Ana mkwanja kuliko FA, coz iinapokuja kwenye mafanikio haiangalii Elimu, Historia yako, Ni vile unavyopanga mipango yako!Je kati ya huyo Fa mwenye elimu na Ay ni nani mwenye mkwanja zaidi?
Nauliza tuu[emoji85] [emoji85]
Wewe nilikwambia FA ndo mwenye shule kuliko AY, Kinyume na wewe ulivyosema na ukasema Ni Kweli umechanganya! Nilichoongea Ni ukweli, kwani kusema Diamond kaishia Darasa la 7 Ni dhambi? Wakati ni kweli, nani asiyejua? mbona unaanza kunishambulia bila sababu? Hunijui sikujui....Mbona wewe ulivyotapeliwa kizembe vile ambavyo binafsi siwezi kutapeliwa kijinga namna ile, mbona sikukushambulia? Acha mambo yako wewe mtoto wa kike, usimdharau mtu usiyemjua!!!acha kutumia nguvu pasipo na sababu we mwenyewe nina mashaka na wewe 😱😱😱😱😱😛😛😛😀😀😀😀
soma thread nyingine jombaa nilisharekebisha haya maneno yooote ya nini unahangover ndugu kunywa maji mengi na supu ya gigi mane ukisha fanya hayo uje fasta sanaWewe nilikwambia FA ndo mwenye shule kuliko AY, Kinyume na wewe ulivyosema na ukasema Ni Kweli umechanganya! Nilichoongea Ni ukweli, kwani kusema Diamond kaishia Darasa la 7 Ni dhambi? Wakati ni kweli, nani asiyejua? mbona unaanza kunishambulia bila sababu? Hunijui sikujui....Mbona wewe ulivyotapeliwa kizembe vile ambavyo binafsi siwezi kutapeliwa kijinga namna ile, mbona sikukushambulia? Acha mambo yako wewe mtoto wa kike, usimdharau mtu usiyemjua!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka Sana supu ya gigy moneysoma thread nyingine jombaa nilisharekebisha haya maneno yooote ya nini unahangover ndugu kunywa maji mengi na supu ya gigi mane ukisha fanya hayo uje fasta sana
hahahaha umenifanya na mimi icheke bila kukusudia[emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka Sana supu ya gigy money
Unauhakika naulichoandika? au ulimaanisha kwenye Makundi yao ya EAST & COASTWatakuwa ndio wasanii matajiri zaidi East Africa.
halafu ay nimemsikia alkisema jana kwenye milad ayo kuwa alikuwa analalakwenye makontena na kuoga mitaani yaani kifupi alikaribia kuwa kama chokoroo kamili............ namfurahia sana kisha hana mambo mengiAY Ana mkwanja kuliko FA, coz iinapokuja kwenye mafanikio haiangalii Elimu, Historia yako, Ni vile unavyopanga mipango yako!
Unatumia kiungo gani kufikiri kwani hao kina AY wanapewa hiyo HELA kwaajili ya SHOW!!!Hiyo hela ni ya shows tano tu kwa Diamond.
hahahaha nilikuwa sijasoma maneno yako yote hahaha nashukuru ulikunywa chai yangu isiyo na sukar sasa umeona kweli hahahahahahahahahahahahaha kweli wajinga bado mpogo eti ulitapeliwa kijinga tehetehe................. ndezi kweli weyeWewe nilikwambia FA ndo mwenye shule kuliko AY, Kinyume na wewe ulivyosema na ukasema Ni Kweli umechanganya! Nilichoongea Ni ukweli, kwani kusema Diamond kaishia Darasa la 7 Ni dhambi? Wakati ni kweli, nani asiyejua? mbona unaanza kunishambulia bila sababu? Hunijui sikujui....Mbona wewe ulivyotapeliwa kizembe vile ambavyo binafsi siwezi kutapeliwa kijinga namna ile, mbona sikukushambulia? Acha mambo yako wewe mtoto wa kike, usimdharau mtu usiyemjua!!!
Hebu kutuwekee BANK STATEMENT ya huyo jamaa yako nasisi tuthibitishe hapaHata Bell 9 anafanya shoo na kuuza nyimbo, je linapokuja swala la ni nani msanii mwenye mkwanja mrefu tutamuingiza kisa nae anafanya shoo na kuuza nyimbo ?????
Hiyo hela ni ya shows tano tu kwa Diamond.