Haikuwa kazi rahisi kumng'oa Dr. Eliona Kimaro Kijitonyama, tulitumia mbinu nyingi ziligonga mwamba

Kusadikika.
Kila mbongo eti huwa ana taarifa za ndani za uhakika. Fiction hii
 
Chai hii
 
Tunaoelewa tumekupata katika ulimwengu wa Roho. Mambumbumbu wa kiroho hawajui kinachoendelea katika ulimwengu wa roho. Endelea kutufungua bwana Kiranja Mkuu.
 
Chuki hufunga akili ,inazuia ubunifu wowote wa mbinu .viongozi Hawana nafasi ya kuchukia ,by hayati nelsoni mandela
 
Napita tu!!! Lakini wachungaji ni wapigaji, acha tu- ni zama zao hizi. Wanakula mpaka matapishi yanawatoka kuliko prof pendwa ya siasa.
Namalizia kwa maneno ya msomi Prof Kashniv- shetani mkubwa duniani ni UJINGA. Jivueni huko nyie mnayechangia pesa huko kila siku. Alamsik!
 
Umeandika pumba tupu , amepewa likizo atapangiwa kazi nyingine , haya mambo nibkawaida katika taasisi , basi akaanzishe kanisa lake asibughuziwe.... Bla bla kibao na ujinga mwingi
 
Mavi
 

Sawa
 

Punguza uchawa, utanishukuru mbeleni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…