Haikuwa kazi rahisi kumng'oa Dr. Eliona Kimaro Kijitonyama, tulitumia mbinu nyingi ziligonga mwamba

Wachawi mmefura.
 
Kanisa likiwa linategemea mtu hata kama ni Pope na nchi yake na maguvu hawezi kumshinda shetani!

Shetani anaogopa Kanisa lenye misingi ya Kristo mwenyewe! Shetani anapiga misingi ya Kanisa sio mtu! Mtu anapigwa kwenye majaribu yake mwenyewe!

Christ must be the center of focus! Tunasikiliza watumishi wake wanaofundisha kile Kanisa linaamini sio mtumishi anachoamini!

Tumsifu Yesu Kristo!

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Siku hizi wanaume wanaendeshwa kwa HISIA kama wanawake. Hawatumii kabisa ubongo waliopewa na Mungu. Mtu anameropoka ujinga halafu kanisa limchekee
 
Kwa msio na ufahamu wa biashara, hamna biashara isiyo na madhabahu (iwe ya asili au hizo kama za Kimaro), hamna biashara isiye na kuhani, na wala hamna biashara isiyotolewa sadaka/kafara.
Wewe chawa wa Kimaro acha kupotosha umma.
 
Mi sidhani kama viongozi wamekurupuka. kama alikuwa anaingiza mapato makubwa na kupata waumini wengi ilikuwa jambo zuri kwa jimbo.itakuwa kuna vitu walikuwa wanamkataza katika uendeshaji wa ibada na pengine matumizi mabaya ya pesa akawa mkaidi.Maybe hiyo ime mcost.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…