Sawa kabisa.Nakubaliana na wewe 100%
wewe uliamini ?Rais alisema kuwa mawaziri atakaowaacha kwenye uteuzi ni wale wenye tamaa ya urais 2025. Baada ya kauli ile watu walitega masiko kuona ni akina nani wataachwa.
Walioachwa pamoja na Ndugai ni Lukuvi, Palamagamba, Mwambe, Mkumbo na Waitara, ingawa mimi sio informer wake lkn sidhani kuwa aliowaondoa ndio walikuwa wanautamani urais zaidi ya aliowaacha kwenye baraza hilo kina January, Mwigulu, Majaliwa.
Alichotakiwa Rais ni kufanya mabadiliko ya kawaida kwa kutaja sababu ya maendeleo bila kutaja sababu ambayo kwa kiasi fulani imewajengea wananchi mtazamo hasi kwa walioondolewa na kwake pia kuwa kumbe nayeye anautamani urais.
Jpm alivyokua anaropoka tuoneshe uliposhauriRais alisema kuwa mawaziri atakaowaacha kwenye uteuzi ni wale wenye tamaa ya urais 2025. Baada ya kauli ile watu walitega masiko kuona ni akina nani wataachwa.
Walioachwa pamoja na Ndugai ni Lukuvi, Palamagamba, Mwambe, Mkumbo na Waitara, ingawa mimi sio informer wake lkn sidhani kuwa aliowaondoa ndio walikuwa wanautamani urais zaidi ya aliowaacha kwenye baraza hilo kina January, Mwigulu, Majaliwa.
Alichotakiwa Rais ni kufanya mabadiliko ya kawaida kwa kutaja sababu ya maendeleo bila kutaja sababu ambayo kwa kiasi fulani imewajengea wananchi mtazamo hasi kwa walioondolewa na kwake pia kuwa kumbe nayeye anautamani urais.
Rais alisema kuwa mawaziri atakaowaacha kwenye uteuzi ni wale wenye tamaa ya urais 2025. Baada ya kauli ile watu walitega masiko kuona ni akina nani wataachwa.
Walioachwa pamoja na Ndugai ni Lukuvi, Palamagamba, Mwambe, Mkumbo na Waitara, ingawa mimi sio informer wake lkn sidhani kuwa aliowaondoa ndio walikuwa wanautamani urais zaidi ya aliowaacha kwenye baraza hilo kina January, Mwigulu, Majaliwa.
Alichotakiwa Rais ni kufanya mabadiliko ya kawaida kwa kutaja sababu ya maendeleo bila kutaja sababu ambayo kwa kiasi fulani imewajengea wananchi mtazamo hasi kwa walioondolewa na kwake pia kuwa kumbe nayeye anautamani urais.
Mkuu labda umejiunga leo JF.Jpm alivyokua anaropoka tuoneshe uliposhauri
Kwa mfano hiyo ina athari gani inayoweza ku athiri umma?Yaani umma utaathirikaje hapo kwa mfano?Rais ameona anafanya kazi na watu ndumilakuwili ambao wanapanga mipango ovu dhidi yake unataka afichefiche nini?Waende huko wakafanye hayo maanalizi ya 2025Matokeo ya kubebwabebwa ndo haya, mnakuwa na kiongozi ambaye hawezi kupima athari za kauli zake kwa umma
Kwa Sasa ni wazi amejionyesha anautaka tena Urais 2025Je mama ana nia ya kusalia madarakani?
Alichofanya mama ni sahihi kabisa 100%, kwa sababu wakiendeleza hujuma zao kwa mama sasa hawatakuwa na nguvu kwa vile nia yao Watanzania washaijua lengo lao ni kumkwamisha mama kwenye maendeleo, bora tulivyowajua wajisikie aibu, sisi tunahitaji maendeleo sio mafanikio ya mtu mmoja mmoja akina JobRais alisema kuwa mawaziri atakaowaacha kwenye uteuzi ni wale wenye tamaa ya urais 2025. Baada ya kauli ile watu walitega masiko kuona ni akina nani wataachwa.
Walioachwa pamoja na Ndugai ni Lukuvi, Palamagamba, Mwambe, Mkumbo na Waitara, ingawa mimi sio informer wake lkn sidhani kuwa aliowaondoa ndio walikuwa wanautamani urais zaidi ya aliowaacha kwenye baraza hilo kina January, Mwigulu, Majaliwa.
Alichotakiwa Rais ni kufanya mabadiliko ya kawaida kwa kutaja sababu ya maendeleo bila kutaja sababu ambayo kwa kiasi fulani imewajengea wananchi mtazamo hasi kwa walioondolewa na kwake pia kuwa kumbe nayeye anautamani urais.
Mtu kutaka kugombea urais ndiyo kuwa na nia ovu dhidi ya Rais? Kama ni hivyo ni wapi kwenye katiba imeandikwa hivyo?Kwa mfano hiyo ina athari gani inayoweza ku athiri umma?Yaani umma utaathirikaje hapo kwa mfano?Rais ameona anafanya kazi na watu ndumilakuwili ambao wanapanga mipango ovu dhidi yake unataka afichefiche nini?Waende huko wakafanye hayo maanalizi ya 2025
Kuna watu ni wakurupukaji sana sasa hivi, hizi ni ile I'd za mkakatiMkuu labda umejiunga leo JF.
Athari zipo nyingi, hii si mara ya kwanza baraza linabadilishwa, usibadilishe ukaacha chuki nyuma.Kwa mfano hiyo ina athari gani inayoweza ku athiri umma?Yaani umma utaathirikaje hapo kwa mfano?Rais ameona anafanya kazi na watu ndumilakuwili ambao wanapanga mipango ovu dhidi yake unataka afichefiche nini?Waende huko wakafanye hayo maanalizi ya 2025
Hii ilikuwa Dec 28, 2016 sijui kama tayari ulikuwa member wa JF.Jpm alivyokua anaropoka tuoneshe uliposhauri
Kinara wa tamaa ni Mwigulu,mpaka leo mawe bado yana maandishiRais alisema kuwa mawaziri atakaowaacha kwenye uteuzi ni wale wenye tamaa ya urais 2025. Baada ya kauli ile watu walitega masiko kuona ni akina nani wataachwa.