Natafuta matibabu
JF-Expert Member
- Aug 1, 2020
- 262
- 301
- Thread starter
-
- #21
Haya kama hili suala linachukuliwa poa, kuna walemavu wanaohitaji msaada kwa asilimia kubwa, hawa hawapaswi kusahaulika.Shida huanzia pale ulemavu unsvyochukuliwa katika jamii.
Shida iko hapo(ulivyojibu tu tayari ubongo wako ushauambia ww huwezi)...yaan ukishauambia ubongo mm siwez ni wa kusaidiwa inakuwa hvyo...ukijiambia mm sina ulemavu nnaweza fanya lolote inakua pia...anywys...kila mtu na anavyoulisha ubongo wake..bt kumbuka kuna walemavu wana mpesa,tigps ,wauza karanga,kuna mkoa fulani mlemavu wa miguu anahudumu lodge ..ana amani tele...naamini alijiambia yy sio mlemavu...ukisubiri serikali ikuone kwakweli utasubiri sana na !(najua utasema hao wametoka familia njema🤭 ushaulisha tena ubongo )Unaanzia wapi
Shukrani sana mkuu. Kweli kabisa kikubwa ni kutokata tamaa.Pole sana mkuu, changamoto zinazidiana. Unaweza ukahisi una changamoto nyingi kumbe mwingine ana changamoto zaidi.
Cha msingi tuendelee kuwa wavumilivu na kufanya kila namna ili kusogea hatua moja kwenda nyingine.
Pia mamlaka zisisahau hili kundi kiasi hiki!
Serikali imetoa ajira kwa walemavu walimu ila kada nyingine zimesahaulika.Sijasikia mambadiliko ya hiyo sheria endapo kama yashafanyika.
Ila katika utawala huu ni sheria ni mtu mmoja tu
Na mimi nasema ukikaa kusubiri kupigwa jeki na Serikali utasubiri sana, Amka kivyakoNdugu nahisi haujelewa mada. Tunajadili suala la ajira kwa walemavu, tuna ujasiri kuliko unavyowaza.
Kwanza tu kuwa na degree ameshajitofautisha na walemavu hata wasio jua shule kunafundishwa nini!Mfano.
Hapo sasa nakuelewa. Tusipende kutoa kila excuses kwa Serikali, ni njia mojawapo ya kufeli. All the bestYeah mkuu i do on my part na hii imenipa hasira chanya zaidi na zaidi and i believe soon or later the world will know my name.
Ndugu nimekuomba mfano kule juu umeshindwa kunionesha. Serikali lazima iwajibike naona hili suala unataka kulihitimisha hivivi tu. Inawezekana umeaezeshwa hata we ndo maana uko hapa.Hapo sasa nakuelewa. Tusipende kutoa kila excuses kwa Serikali, ni njia mojawapo ya kufeli. All the best
Mfano gani? Nani ameniwezesha? Mimi ni anti-Serikali haswa haswa. Nilikua natoa excuses kibao kama wewe lakini niliamua kuiangalia in a postive way. Hiyo serikali yako maskini itawajibika kwa walemavu wote TZ ? Endelea kungojaNdugu nimekuomba mfano kule juu umeshindwa kunionesha. Serikali lazima iwajibike naona hili suala unataka kulihitimisha hivivi tu. Inawezekana umeaezeshwa hata we ndo maana uko hapa.
Pole mkuu Ni mapito.Shukrani sana mkuu. Kweli kabisa kikubwa ni kutokata tamaa.
Umeona sasa. Hebu pita vizuri utaona nilikwanbia mfano wa namna ya kujikwamua bila ya serikali. Hebu tuanzie hapa.Mfano gan? Nan ameniwezesha? Mm ni anti-serikali haswa haswa.... nilikua natoa excuses kibao kama ww lakini niliamua kuiangalia in a postive way..hiyo serikali yako maskini itawajibika kwa walemavu wote tz ? Endelea kungoja
Mimi ni mtu asiyeona pia. Hebu pita hapa utaelewa zaid watu wasioona wanavyotumia simu na computers.Pole mkuu Ni mapito.
Mkuu unawezaje kusoma na kuandika?
Ila wewe had ukafunguke upeo wako sio leo...kwahyo uko hapo ukisubiri serikali ikukwamue?Umeona sasa. Hebu pita vizuri utaona nilikwanbia mfano wa namna ya kujikwamua bila ya serikali. Hebu tuanzie hapa.