Natafuta matibabu
JF-Expert Member
- Aug 1, 2020
- 262
- 301
- Thread starter
- #61
Ni hii Tanzania, tena katika huu utawala. Bora tuseme kuliko na kutosema.Hivi haya mambo mnayoandika mnalenga nchi ipi jaman? AFRICA hii hii au? Ukute sielewi vyema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni hii Tanzania, tena katika huu utawala. Bora tuseme kuliko na kutosema.Hivi haya mambo mnayoandika mnalenga nchi ipi jaman? AFRICA hii hii au? Ukute sielewi vyema
Daah, umepiga hesabu rahisi sana, Ahsante kwa ushauri.Hamuelewi tu siri ya kuanza mwenyewe then ndo uwe pushed...hv sasa nin maana ya kuwa kwenye jamii inayokuzunguka? Yaan umekaa hapo una idea ya kufungua tuition lakin unakaa unasubiri mtendaji akuletee vitendea kazi?? Hv uko serious kweli? Unashindwa nn kupita nyumba kwa nyumba mtu kwa mtu kuomba akuchangie dawati? Anza kwanza kuoambna mwenyewe thrn atatokea mtu atakupush...mngekuwa mnasadiki tungeweza kuwekaga shuhuda humu msadiki ..hakuna mafanikio rahis..kubali kuteseka..kubali kukataliwa..hata hiyo mifuko ya jimbo sijui mafungu ya walemavu unadhan yatatosha sasa kwa aina hii ya mawazo? Aisee safari bado ndefu..nakuhakikishia ukiendelea kusubiri kuwezeshwa na serikali utaishia kuwa maskini...tena fukara mno! Maisha yako yako kiganjani mwako...amka..simama on your feet...
Unashindwa kuomba kikuku ki1 kwa jirani ukakilea ukaanza ufugaji kutafuta mtaji? Walau upate kuku 40 ukiuza kila kuku 10000 huna laki 4 hapo? Hujapata madawati ya tuition hapo hata m5? Au viti vya plastick hata 6?Shida mnataka hela za papo kwahapo...HAKUNAGA[emoji137]
ImaniNi hii Tanzania, tena katika huu utawala. Bora tuseme kuliko na kutosema.
Endapo fursa hata ya kusukuma toroli, kati ya mlemavu asiyeoona au asiyeweza kutembea na wewe ambaye unaona na kuweza kutembea, nani atakuwa na afadhali katika hiyo fursa? Huo ndio utofauti ninaoupigia kelele.Mkuu, kwani ambao sio walemavu wanapata wapi mtaji? Mbona mi sipati na sina ulemavu wowote?
Hatukatai kwa wao kuneemeka kwa nafasi zao, la msingi wasitusahau na wengine tuliowapa dhamanaNgoja wajenge kwanza wasisahau kujijengea na makaburi yao ya kujipumzikia jua likiwa kali sana duniani
Kabisa ndugu bado mtazamo haumpi fursa mlemavu aoneshe uwezo wAke katika kuhudumia jamiiTunaomba wafikirie na kada zingine kunusuru hili janga la ukosefu wa ajira kwa walemavu.
Ikumbukwe pia, serikali ndio tumaini la walemavu maana mashirika yasiyo ya serikali ukiwaeleza/wakikuona una ulemavu kupata nafasi ni nadra sana kwani wao wanachoangalia ni faida kwenye shirika lao jambo ambalo wanahisi mlemavu anaweza kuchelewesha malengo yao na hatimaye hupati nafasi
Mi ni mlemAvu nisiyeona.Kuhusu kukosa mtaji hata tusio walemavu inatuhusu, mtaji hakuna lkn ndo tunapaswa kutumia akili kutafuta huo mtajji. Mkuu wewe ni mlemavu wa kiungo gani?
Nahis kama ungeacha kuchangia hapa. Unavuruga michango mizuri inayotolewa na wengine.Kwanza serikali haiwez ikakupa mtaji kizembe namna hiyo...yaan maisha haya bora uchanwe live tu... maisha magumu kweli lakini napinga kbs serikali kuja kukupa mtaji...umekaa tu eti unasubirinkushikwa mkono..lol
Kama mkuu umewahi kukutana na motivetional speakers ndio hawa. Achana nae.Daah, umepiga hesabu rahisi sana, Ahsante kwa ushauri.
Hayo anayozungumza bila million huyapati. Halaff suala lA pili hao wazazi mirtazamo yao bado sanaTuchukue mfano kuanzisha tuition, pale itahitajika vitendea kazi kama darasa/ukumbi, mabench ya kukalia. Hivi vitu viwili huwezi kuvipata bure na ukiwa huna hata senti ni janga. Ndio maana tunasema tuwezeshwe kulingana na hali zetu.
Mtu kama huyu ni rahisi kumuwezesha na akainuka vizuri tu, hicho ndicho cha muhimu(kushikwa mkono)
Nani anakukera[emoji28][emoji28]basi endeleeni kusubiri ajira mje msave mfungue biashara zenu nakaa hapa nawachek nasema nhiii..ila kuna watu wanakera sana dah[emoji3064]...
Kwa taarifa yako serikali inatoa mitaji. Na haya mawazo ya aina kama yako ni ya watu wenye roho mbaya. Tulijadili kuajiri kwwa serikali. Inaonekana unauelewa mdogo juu ya huduma kwa jamii.Kwanza serikali haiwez ikakupa mtaji kizembe namna hiyo...yaan maisha haya bora uchanwe live tu... maisha magumu kweli lakini napinga kbs serikali kuja kukupa mtaji...umekaa tu eti unasubirinkushikwa mkono..lol
Sawa mkuuEndapo fursa hata ya kusukuma toroli, kati ya mlemavu asiyeoona au asiyeweza kutembea na wewe ambaye unaona na kuweza kutembea, nani atakuwa na afadhali katika hiyo fursa? Huo ndio utofauti ninaoupigia kelele.
Serikali inatoa mikopo na si mtaji wa bure.Kwa taarifa yako serikali inatoa mitaji. Na haya mawazo ya aina kama yako ni ya watu wenye roho mbaya. Tulijadili kuajiri kwwa serikali. Inaonekana unauelewa mdogo juu ya huduma kwa jamii.
Ooh pole, hapo changamoto ipoMi ni mlemAvu nisiyeona.
Sasa mbona hamjapata mnalia lia iwakumbuke na nyie? Lol...milioni 50 za kijiji tu imekuwa shughuli....niwe na roho mbaya ww inisaidie nn? Bas subiri zamu zenu zinakuja boss..unashindwa hata kufuga vukuku vya kienyeji hapo hazina mbwembwe umekaa kusubiri serikali? Tafuta eneo ntakutumia vifaranga hata 30 bureeee...ufuge! Yaan ww ungekuwa mwanangu ungenichukia mamako...amka ulipolala hebu..hakuna urahis huoKwa taarifa yako serikali inatoa mitaji. Na haya mawazo ya aina kama yako ni ya watu wenye roho mbaya. Tulijadili kuajiri kwwa serikali. Inaonekana unauelewa mdogo juu ya huduma kwa jamii.
Nyie mnaolia serikali imewasahau...unashindwa nini kufunga hata karaga ukauza?unasubiri serikali..hiyo serikali km inawajali walamavu mbona mijin wamejazana kibao?kuwa smartNani anakukera