mtume wawatu
JF-Expert Member
- Oct 30, 2016
- 1,053
- 1,199
Shida yako wewe hautoi masuluhisho ukiwa unafahamu hali za walemavu. Kwa mfano kufungua kituo cha twisheni au hiyo nassary ni gharama. Unamkuta mtu hata mia hana. Naomba unisaidie mtu wa aina hii anaanZia wapi.Ila wewe had ukafunguke upeo wako sio leo...kwahyo uko hapo ukisubiri serikali ikukwamue?
Mwenzako kasema kamaliza degree..nikamwambia kumaliza degree ameshajitofautisha na walemavu wengine by far..ni yy kuanza kuitumia degree yake huko mtaani...
Unashindwa nn kuanzisha kituo cha tuition au hata nursery school? Kalaghabaho
Hili limeshafanyika na limeleta mafanikio.Anzisheni watsaap group lenu la wenye ulemavu,mtu akitaka ajiunge lengo ni kushare experiences, stratergies za kukabiliana na changamoto zinazo wakabili katika siku
Hili limeshafanyika na limelwta mafanikio.
Asante mkuu usijali. Kusoma na kuandika bila shaka mkuu unamaanisha humu mtandaoni... Mzungu aliisha maliza kila kitu zipo apps maalumu both for Pc and smartphones ambazo zinaniwezesha kufanya almost kila kitu.Pole mkuu Ni mapito.
Mkuu unawezaje kusoma na kuandika?
Ubaya haupo postive, ungekuwa postive ningekufungukia hapa ungejiona ulikua wapi. ByeShida yako ww hautoi masuluhisho ukiwa unafahamu hali za walemavu. Kwa mfano kufungua kituo cha twisheni au hiyo nassary ni gharama. Unamkuta mtu hata mia hana. Naomba unisaidie mtu wa aina hii anaanZia wapi.
Kama unalengo la kutoa elimu toa tu maana hata wwngine wanafaidika. Ukitoa mawazo yakini itakua bora zaidiUbaya haupo postive, ungekuwa postive ningekufungukia hapa ungejiona ulikua wapi. Bye
Wangefuata sheria inavyosema hakuna mtu mwenye ulemavu na sifa za kuajiriwa ambae angekuwa hajaajiriwa. Sikumbuki ni sheria ya mwaka gani lakini inasema taasisi yenye wafanyakazi kuanzia 100 na kuendelea basi inatakiwa kuwa na wafanyakazi walemavu angalau 3%. Sasa chukua Serikali Kuu, Serikali za Mitaa pamoja na taasisi zake zote, hapo kuna wafanyakazi angalau 500K; huko peke yake kulitakiwa na wafanyakazi walemavu angalau 15,000. Kabla hatujaangalia taasisi binafsi, je huko serikalini walemavu walioajiriwa wanafika 15K?!Inasikitisha sana, ivi sheria inasemaje kuhusu hili suala la ajira kwa walemavu hata kama haifuatwi.
Hili kundi haitakiwi kusahaulika kiasi hiki hata kama mambo mengi makubwa yanatekelezwa
Sidhan kama utabadilika..tusubiri serikali yetu tukufu watoe ajiraKama unalengo la kutoa elimu toa tu maana hata wwngine wanafaidika. Ukitoa mawazo yakini itakua bora zaidi
Tunaomba wafikirie na kada zingine kunusuru hili janga la ukosefu wa ajira kwa walemavu.Serikali imetoa ajira kwa walemavu walimu ila kada nyingine zimesahaulika.
Hamna anayekataa kuamka, kikwazo ni vitu vitakavyokuwezesha kuamka mfano mtaji. Tukipatiwa ajira tunaweza kupata hata mtaji kwa kusaveNa mimi nasema ukikaa kusubiri kupigwa jeki na Serikali utasubiri sana, Amka kivyako
Sio wote wanaoweza kunyanyuka bila kushikwa mkono. Njia iliyorahisi kupunguza hili tatizo ni ajira kwa wenye elimu, wasio na elimu wawezeshwe hata mitaji tuHapo sasa nakuelewa. Tusipende kutoa kila excuses kwa Serikali, ni njia mojawapo ya kufeli. All the best
Tuchukue mfano kuanzisha tuition, pale itahitajika vitendea kazi kama darasa/ukumbi, mabench ya kukalia. Hivi vitu viwili huwezi kuvipata bure na ukiwa huna hata senti ni janga. Ndio maana tunasema tuwezeshwe kulingana na hali zetu.Ila wewe had ukafunguke upeo wako sio leo...kwahyo uko hapo ukisubiri serikali ikukwamue?
Mwenzako kasema kamaliza degree..nikamwambia kumaliza degree ameshajitofautisha na walemavu wengine by far..ni yy kuanza kuitumia degree yake huko mtaani...
Unashindwa nn kuanzisha kituo cha tuition au hata nursery school? Kalaghabaho
Daa, hilo ndio tatizo kubwa sasa, sheria haifuatwi kabisa. Na siku hizi bila kujuana kupata kazi imekuwa jambo ngumu sanaWangefuata sheria inavyosema hakuna mtu mwenye ulemavu na sifa za kuajiriwa ambae angekuwa hajaajiriwa. Sikumbuki ni sheria ya mwaka gani lakini inasema taasisi yenye wafanyakazi kuanzia 100 na kuendelea basi inatakiwa kuwa na wafanyakazi walemavu angalau 3%. Sasa chukua Serikali Kuu, Serikali za Mitaa pamoja na taasisi zake zote, hapo kuna wafanyakazi angalau 500K; huko peke yake kulitakiwa na wafanyakazi walemavu angalau 15,000. Kabla hatujaangalia taasisi binafsi, je huko serikalini walemavu walioajiriwa wanafika 15K?!
Hivi haya mambo mnayoandika mnalenga nchi ipi jaman? AFRICA hii hii au? Ukute sielewi vyemaSio wote wanaoweza kunyanyuka bila kushikwa mkono. Njia iliyorahisi kupunguza hili tatizo ni ajira kwa wenye elimu, wasio na elimu wawezeshwe hata mitaji tu
Tuchukue mfano kuanzisha tuition, pale itahitajika vitendea kazi kama darasa/ukumbi, mabench ya kukalia. Hivi vitu viwili huwezi kuvipata bure na ukiwa huna hata senti ni janga. Ndio maana tunasema tuwezeshwe kulingana na hali zetu.
Mtu kama huyu ni rahisi kumuwezesha na akainuka vizuri tu, hicho ndicho cha muhimu(kushikwa mkono)
😅😅basi endeleeni kusubiri ajira mje msave mfungue biashara zenu nakaa hapa nawachek nasema nhiii..ila kuna watu wanakera sana dah🥺...Hamna anayekataa kuamka, kikwazo ni vitu vitakavyokuwezesha kuamka mfano mtaji. Tukipatiwa ajira tunaweza kupata hata mtaji kwa kusave
Kuhusu kukosa mtaji hata tusio walemavu inatuhusu, mtaji hakuna lkn ndo tunapaswa kutumia akili kutafuta huo mtajji. Mkuu wewe ni mlemavu wa kiungo gani?Shida yako wewe hautoi masuluhisho ukiwa unafahamu hali za walemavu. Kwa mfano kufungua kituo cha twisheni au hiyo nassary ni gharama. Unamkuta mtu hata mia hana. Naomba unisaidie mtu wa aina hii anaanZia wapi.
Mkuu, kwani ambao sio walemavu wanapata wapi mtaji? Mbona mi sipati na sina ulemavu wowote?Hamna anayekataa kuamka, kikwazo ni vitu vitakavyokuwezesha kuamka mfano mtaji. Tukipatiwa ajira tunaweza kupata hata mtaji kwa kusave
Kwanza serikali haiwez ikakupa mtaji kizembe namna hiyo...yaan maisha haya bora uchanwe live tu... maisha magumu kweli lakini napinga kbs serikali kuja kukupa mtaji...umekaa tu eti unasubirinkushikwa mkono..lolKuhusu kukosa mtaji hata tusio walemavu inatuhusu, mtaji hakuna lkn ndo tunapaswa kutumia akili kutafuta huo mtajji. Mkuu wewe ni mlemavu wa kiungo gani?
Kupewa mtaji na serikali ni kujiendekeza, na wengi watapewa lkn hawatafanyia kitu zaidi ya kula na kunywa ..tatizo litabaki pale pale.Kwanza serikali haiwez ikakupa mtaji kizembe namna hiyo...yaan maisha haya bora uchanwe live tu... maisha magumu kweli lakini napinga kbs serikali kuja kukupa mtaji...umekaa tu eti unasubirinkushikwa mkono..lol