Haikuwa uamuzi sahihi kusitisha ajira hata kwa Walemavu, hili kundi linataabika sana mtaani

Daah, umepiga hesabu rahisi sana, Ahsante kwa ushauri.
 
Mkuu, kwani ambao sio walemavu wanapata wapi mtaji? Mbona mi sipati na sina ulemavu wowote?
Endapo fursa hata ya kusukuma toroli, kati ya mlemavu asiyeoona au asiyeweza kutembea na wewe ambaye unaona na kuweza kutembea, nani atakuwa na afadhali katika hiyo fursa? Huo ndio utofauti ninaoupigia kelele.
 
Kabisa ndugu bado mtazamo haumpi fursa mlemavu aoneshe uwezo wAke katika kuhudumia jamii
 
Kwanza serikali haiwez ikakupa mtaji kizembe namna hiyo...yaan maisha haya bora uchanwe live tu... maisha magumu kweli lakini napinga kbs serikali kuja kukupa mtaji...umekaa tu eti unasubirinkushikwa mkono..lol
Nahis kama ungeacha kuchangia hapa. Unavuruga michango mizuri inayotolewa na wengine.
 
Hayo anayozungumza bila million huyapati. Halaff suala lA pili hao wazazi mirtazamo yao bado sana
 
Kwanza serikali haiwez ikakupa mtaji kizembe namna hiyo...yaan maisha haya bora uchanwe live tu... maisha magumu kweli lakini napinga kbs serikali kuja kukupa mtaji...umekaa tu eti unasubirinkushikwa mkono..lol
Kwa taarifa yako serikali inatoa mitaji. Na haya mawazo ya aina kama yako ni ya watu wenye roho mbaya. Tulijadili kuajiri kwwa serikali. Inaonekana unauelewa mdogo juu ya huduma kwa jamii.
 
Mlemavu ana Economic disadvantages nyingi kuliko Advantages.

Tunazungumzia kukwamuka kiuchumi, mlemavu kupata nafasi katika Private Entity ni sawa na ngamia kupita katika tundu la sindano iwe Professional, iwe manual work mbinde sana mlemavu kupata nafasi huko...Private Entity wanaangalia faida ya kampuni zaidi kumpa kazi mlrmavu na kumuacha mzima kwao wanaona kama Charitable Activities na wao hawapo kwaajiri ya Charity.

Now, tunaona mlemavu hana nafasi serikalini hana nafasi Private, kimbilio pekee linalobaki kwake ni kujiajiri.

Swali: anajiajiri vipi hana mia mfukoni.

tukijiuliza swali hilo maana yake tunaangali mwanzo anaanzaje, tusiangalie kuna mlemavu anamiliki Gari, Hotel, Shule...Suala alipokuwa hana ata 100 Tzs mfukoni ilikuwaje.

Mimi sijui nyie mutakwamukaje mimi hilo halinihusu imetosha kuwatetea.

Walemavu munahitaji mkono kwakweli, ila kwahii Dunia ya sasa nafikiri inaenda kinyumenyume unaweza kuwa na haki yakupata kitu fulani ila utangoja ukipate mpaka unakufa hakuna atayekuja kukupa.

Maisha ya sasahivi Kama mvua yanamnyeshea kila mtu hayajari wewe mlemavu wewe Graduate, unategemewa, mgonjwa yenyewe yanachojua ni kutandika bakora tu bila huruma.
 
Kwa taarifa yako serikali inatoa mitaji. Na haya mawazo ya aina kama yako ni ya watu wenye roho mbaya. Tulijadili kuajiri kwwa serikali. Inaonekana unauelewa mdogo juu ya huduma kwa jamii.
Sasa mbona hamjapata mnalia lia iwakumbuke na nyie? Lol...milioni 50 za kijiji tu imekuwa shughuli....niwe na roho mbaya ww inisaidie nn? Bas subiri zamu zenu zinakuja boss..unashindwa hata kufuga vukuku vya kienyeji hapo hazina mbwembwe umekaa kusubiri serikali? Tafuta eneo ntakutumia vifaranga hata 30 bureeee...ufuge! Yaan ww ungekuwa mwanangu ungenichukia mamako...amka ulipolala hebu..hakuna urahis huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…