Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 25,050
- 45,202
Aman iwe nanyi wakuu
Kwa kweli inchi yetu inaelekea shimoni aisee
Rais anapewa sifa za Kimungu na hakemei
Hakuna hata kiongozi mmoja wa dini ambaye kajitokeza na kukemea
Ni kweli Rais anachapa kazi lakini siyo kwa sifa hizi anazopewa
Nahofia siku moja mwenyezi atatupiga upupu kwa ushenzi wa washenzi wachache
Haipendezi aisee binadam kupewa sifa za kimungu
LONDON BOY
Sent using Jamii Forums mobile app
======
Maoni ya wadau

Ukielewa kwamba siasa na dini ni pande mbili za shilingi moja ile ile.
Ukielewa kwamba dini ni siasa ya zamani iliyovikwa joho la utukufu wa Mungu asiyethibitishika.
Ukielewa kwamba hata Farao aliabudiwa kama Mungu.
Ukielewa kwamba Wafalme wa kale walitawala kwa "mandate if heaven".
Ukielewa kwamba Papa ni Head of State.
Ukielewa kwamba Church of England linaongizwa na Malkia wa Uingereza.
Ukielewa Mfalme Hirohito wa Japan alichukuliwa kama Mungu wa wa Japan.
Ukielewa Mfalme Haike Selassie mpaka leo anachukuliwa kama Mungu na Rastafarians.
Ukielewa Ayatollah wa Iran ni zaidi ya rais wa nchi hiyo.
Ukielewa Donald Trump anawafagilia walokole wa Marekani.
Haya mengine hayatakushangaza hata kidogo.
Sent using Jamii Forums mobile app