Lete hizo hoja wewe kama unazo.Hivi Wapinzani mmeishiwa hoja kabisa?
Lete hizo hoja wewe kama unazo.Hivi Wapinzani mmeishiwa hoja kabisa?
Kwanini tutoe povu ? maoni yako yanaheshimiwa .Hakuna Mungu utakayekuja kumuona kwa macho yako, wanajua kuwa hakuna Mungu ndiyo maana wanawasanifu wajinga, werevu tunajua hakuna Mungu kwa hiyo tunatumia akili zetu(povu ruksa)
Wakija wafia dini utawasikia😂😂😂😂Kwanini tutoe povu ? maoni yako yanaheshimiwa .
Vipi kuhusu wewe ?Ni wapi imeandikwa kwenye Biblia au Msaafu kwamba ni jukumu la ,,viongozi wa kidini” kukubali au kutokubali Mungu kuchezewa?
Hatutakubali Shetani atawale ulimwenguni
Iko siku Mungu ataipiga laana nchi hii , watu wachache wasituponze
Watu kama wewe huwa wanakosoa mpaka ukosoaji unageuka kuwa ni shughuli yenye kukosa maana.Iko siku Mungu ataipiga laana nchi hii , watu wachache wasituponze
Viongoz wa din ndo nn? Dini ipi? Ambayo kila aliyezaliwa kaikuta? Emb andika vzurIko siku Mungu ataipiga laana nchi hii , watu wachache wasituponze
Iko siku Mungu ataipiga laana nchi hii , watu wachache wasituponze
wana bahati hawawezi kuthubutu kuchezea quranNaingalia Isaya 54:17 sioni neno magufuli.....au kuna toleo jipya ya hiyo bible!?
Iko siku Mungu ataipiga laana nchi hii , watu wachache wasituponze