Ukielewa kwamba siasa na dini ni pande mbili za shilingi moja ile ile.
Ukielewa kwamba dini ni siasa ya zamani iliyovikwa joho la utukufu wa Mungu asiyethibitishika.
Ukielewa kwamba hata Farao aliabudiwa kama Mungu.
Ukielewa kwamba Wafalme wa kale walitawala kwa "mandate if heaven".
Ukielewa kwamba Papa ni Head of State.
Ukielewa kwamba Church of England linaongizwa na Malkia wa Uingereza.
Ukielewa Mfalme Hirohito wa Japan alichukuliwa kama Mungu wa wa Japan.
Ukielewa Mfalme Haike Selassie mpaka leo anachukuliwa kama Mungu na Rastafarians.
Ukielewa Ayatollah wa Iran ni zaidi ya rais wa nchi hiyo.
Ukielewa Donald Trump anawafagilia walokole wa Marekani.
Haya mengine hayatakushangaza hata kidogo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ni Jiwe, mimi ni Mwamba na Juu ya Mwamba huu Mungu atapiga magoti!
Sent using Jamii Forums mobile app
21 Basi siku moja iliyoazimiwa, Herode akajivika mavazi ya kifalme, akaketi katika kiti cha enzi, akatoa hotuba mbele yao.Aman iwe nanyi wakuu
Kwakweli inchi yetu inaelekea shimon aisee
Rais anapewa sifa za Kimungu na hakemei
Hakuna hata kiongozi mmoja wa dini ambaye kajitokeza na kukemea
Ni kweli Rais anachapa kazi lakin siyo kwa sifa hizi anazopewa
Nahofia siku moja mwenyezi atatupiga upupu kwa ushenz wa washenzi wachache
Haipendezi aisee binadam kupewa sifa za kimungu
LONDON BOY
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo wanyonge wameamua
Hakuna Mungu utakayekuja kumuona kwa macho yako, wanajua kuwa hakuna Mungu ndiyo maana wanawasanifu wajinga, werevu tunajua hakuna Mungu kwa hiyo tunatumia akili zetu(povu ruksa)Iko siku Mungu ataipiga laana nchi hii , watu wachache wasituponze
Rais wangu WA majukwaani saizi ni muda wa kitembea na Pacha lako ili kupunguza stress za watu Tutahakikisha tunamjazia strategies za kuboresha maisha ya watanzania...Iko siku Mungu ataipiga laana nchi hii, watu wachache wasituponze