Na wameishajua Kuwa anapenda Misifa ya Kijanga, sasa hivi hali ilivyo Mbaya Wasanii Uchwara wa Dini na Bongo Fleva wote ni Kusifu na Kuabudu tu. Very bad.
Juda aliyemsaliti yesu alikuwa karibu naye kuliko Yohana Mbatizaji. Jina ni jina tuu halina uhusiano na tabia ya mtu, unaweza kuitwa Hitler ukaenda moja kwa moja paradiso kwa matendo yako.