Haithamkim amefanyaje?

Inabidi siku moja ukipata nafasi ya kuonana,namaanisha ukipata nafasi ya kuonana na Diamond Platinumz,umwambie kwa kumsisitiza kua usanii Bongo haulipi,bora afanye shughuli kama yako😁😁😁.Hakikisha unapomwambia,Esma awepo na mama Dangote pia.
Usanii bongo bora utafute shughuli nyingine yoyote ile ya kufanya!
 
Ni ugonjwa gani huo Jamani?
 
Ni ugonjwa gani huo Jamani?
Lupus ni ugonjwa unaotokea wakati mfumo wa kinga ya mwili wako unaposhambulia tishu na viungo vyako (ugonjwa wa autoimmune). Uvimbe mdogo unaosababishwa na lupus unaweza kuathiri mifumo mingi ya mwili - ikiwa ni pamoja na viungo vyako, ngozi, figo, seli za damu, ubongo, moyo,mifupa, maini na kubana mapafu.

Lupus inaweza kuwa vigumu kutambua kwa sababu ishara na dalili zake mara nyingi huiga zile za magonjwa mengine. Ishara tofauti zaidi ya lupus - upele wa uso unaofanana na mbawa za kipepeo inayojitokeza kwenye mashavu yote au mfano wa uvimbe wa mzio - japo hutokea katika matukio mengi lakini si yote ya lupus kwasababu ni ugonjwa unaojificha sana na kutambulika inahitaji umakini.

Watu wengine huzaliwa na lupus japo huja kujitokeza ukubwani, ambayo inaweza kuchochewa na maambukizo, dawa fulani, madawa ya kulevya au hata mwanga wa jua. Ingawa hakuna tiba ya lupus, matibabu yanaweza kusaidia kudhibiti dalili japo ni ghali sana na ni matibabu kwa njia za sindano.
 
Km Uwoya kaahh... hapana nyodo zimezidi wa kuambiwa watu wanakaaa stoo watafute Hela[emoji3526][emoji28][emoji3526][emoji3526][emoji3526]akasema j3 ni wikiendei sio work day,tutafute Hela tupunguze kupanda daladala !!!
Ile Kali kakaa kwenye pool anaogea maziwa.
 
Kwakweli kwenye kuchangia sionagi tabu hususani kwa ndugu, jamaa na marafiki wa karibu. Sasa nikimchangia msanii hivi siku limenikuta na Mimi kunauwezekano wa kutambilika kwao ili na wao wanichangie? Wasanii msitumie vibaya kujulikana kwenu. Undeni hata vikundi vya kusaidiana mbona sisi huku mtaani tunavyo na hatujawahi watafuta nyie mtusaidie?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…