Haithamkim amefanyaje?

Haithamkim amefanyaje?

Mbona inasemekana Kesha RIP?
Screenshot_20230901-152521.jpg
 

Attachments

  • Screenshot_20230901-152521.jpg
    Screenshot_20230901-152521.jpg
    43.6 KB · Views: 2
Hana Bima?
Hata kama anayo ila inapofikia tiba yake sindano kwa siku 700k bima ipi itafaa, hata kama angekuwa na bima ya 3.5m kwa mwaka pia isingetosha lazima angetakiwa kulipia gharama za ziada kwasababu sio kila bima inabeba maradhi yote otherwise ile bima premium ambayo ni ghali, possibly alikuwa na lupus ni ugonjwa unaohitaji pesa sana sitashangaa.
Mtu wangu wa karibu alikuwa nao kila baada ya miezi 3 sindano yake ni 2.8m
 
Serikali za afrika za kifala fala sana.Sasa serikali ita cover under whichi basics!? Yeye kama nani?
Wasanii wangapi wanaumia na serikal haina habar nao?

NB.
Sina nia mbaya
Sio wasanii sababu wao wana watu wa kuwapazia sauti,inshu ni je wananchi wangap wanaumwa na hawana watu wa kuwapazia sauti hadi serikali iwasaidie?
 
Naona Wasanii mbalimbali Wamepost wakisema kwamba anaumwa Watu watume pesa Achangiwe Bila kusema Shida ni nini

Huku Baadhi ya Comments zikisema Binti ambaye ni Msanii amekuwa akitumia Bangi na Kuvuta Shisha sana, je ni nini Hasa Kinamsibu?

Nimesoma kweny Ayo account, huyo msanii kafariki Temeke hospital
Nimesoma kwenye Millard Ayo a/c
 
Hata kama anayo ila inapofikia tiba yake sindano kwa siku 700k bima ipi itafaa, hata kama angekuwa na bima ya 3.5m pia isingetosha lazima angetakiwa kulipia gharama za ziada kwasababu sio kila bima inabeba maradhi yote otherwise ile bima premium ambayo ni ghali, possibly alikuwa na lupus ni ugonjwa unaohitaji pesa sana sitashangaa.
Mtu wangu wa karibu alikuwa nao kila baada ya miezi 3 sindano yake ni 2.8m
Duh!
 
Naona Wasanii mbalimbali Wamepost wakisema kwamba anaumwa Watu watume pesa Achangiwe Bila kusema Shida ni nini

Huku Baadhi ya Comments zikisema Binti ambaye ni Msanii amekuwa akitumia Bangi na Kuvuta Shisha sana, je ni nini Hasa Kinamsibu?


Nasikitika Kusema Kwamba Binti na msanii Haitham kim Amefariki Dunia

mungu amlaze mahali pema peponi
Screenshot_20230901_153305_Instagram.jpg
 
Halafu wewe ukanishtaki kwa moderator nikapigwa bun sawa tuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Pole 😂 lile ni kosa hapa JF kujifanya unajua kuita watu majina tofauti na wanayoyatumia kwa wakati huo
 
Back
Top Bottom