Kwani NHIF kwa wasio wafanyakazi wa kitaasisi ni bei gani KWA mwaka?Tofauti ni price na coverage.....NHIF bundle zake zipo juu na unatibiwa kila hospital..Hii ya Strategy si kila hospital utatibiwa utapewa list ya hospital utazoenda....ila ndio bei rahisi sasa
Kama ni laki 7 kwa siku kweli ni balaaLaki 7 kwa siku, kuna sindano anaichoma ndio inacost laki 7 na anachoma kila siku. Nimesoma hivyo sehemu
Anajiona dragon 🤣Yan mtu aamue yeye kuish kama dragon m ntoe pesa yangu apone? Bora nkabashir mech ulaya
Hebu kapige mswaki kwanza ndio uje uandike upupu wako,...🤣🤣Unanitafuta long
Trust me hutokaa unipate
Pita kushoto mbona mie sijawahi kukuquote?sababu sijui hata kama waexist humu jukwaani
So nipotezee,usifosi mazoea Bibi weeh
Sikumbuki Moja Kwa Moja,ila najua ipo juu kuliko hii ya NMB . Hebu google hapo kwenye website yaoKwani NHIF kwa wasio wafanyakazi wa kitaasisi ni bei gani KWA mwaka?
😂😂 wacha banaSitumi hela kwa dragon aisee.. Ukienda Small Planet uwakute hawa ata kuwasogelea huruhusiwi. Na. Meza zao zipo reserved.
let's quit aisee😂Hayaaa dragon mtoto kula chuma hiko
Nishakwambia jifunze kubalance shobo👌👌Hebu kapige mswaki kwanza ndio uje uandike upupu wako,...
Jifunze kusugua kisigino chako kwanza kabla hujavaa ndala zako za manyoya ndio uje kunifundisha jinsi ya kubalance shobo.Nishakwambia jifunze kubalance shobo👌👌
Sikumbuki Moja Kwa Moja,ila najua ipo juu kuliko hii ya NMB . Hebu google hapo kwenye website yao
Mtu moja NHIF ni 192,000Sikumbuki Moja Kwa Moja,ila najua ipo juu kuliko hii ya NMB . Hebu google hapo kwenye website yao
Ok,iko juu ila matumizi yake ni makubwa Haina limitations sana,Binafsi ni mwanachama wa NHIF,Hiyo ya NMB niliiyona nilivyokuwa nafanya shughuli za kibenki,nikaipendaMtu moja NHIF ni 192,000
Mtu mwenye family ni 612,000
kama Vp Kama nataka yangu labda na mtoto mmoja?Laki mbili,baba,mama, watoto wa 2...ukiongeza mtoto mmoja unaongeza 80,...wanatumia Ile kampuni ya strategy...pitia tawi la NMB Wana maelezo mazuri
Hapo Sasa sijui itakuwaje,Mimi package niliyoiona ni baba,mama na watoto wawili....nilivyouliza kuhusu mtoto wa tatu ndio wakasema utaongea 80.kama Vp Kama nataka yangu labda na mtoto mmoja?
Ahahahahah..Nilishawahi kuvuta moshi wake ukanishinda maana ulikuwa unakaa wiki nzima nausikia nikajiuliza yanini yote haya...😂
Serikali za afrika za kifala fala sana.Sasa serikali ita cover under whichi basics!? Yeye kama nani?FA amesema atatibiwa tayari watacover bill serikali
Angalia sana watu wa kuwashauri my friend.Vijana wa sasa chagua sana mtu wa kumpa ushauri maana unaweza ukajiona labda huna ushauri mzuri kumbe unayemshauri ni tatizo.Kila mahali naona anapostiwa japo simjui ila kusema kweli situation aliyopo ni ngumu sana,mapafu kufail sio kitu kidogo.Aombe sana uponyaji wa Mungu.
Nliwaambia fanyeni starehe za ujana ila kwa kiasi nkaulizwa ukifa na afya njema ina faida gani..haya
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakuelewa Sana kakaSerikali za afrika za kifala fala sana.Sasa serikali ita cover under whichi basics!? Yeye kama nani?
Wasanii wangapi wanaumia na serikal haina habar nao?
NB.
Sina nia mbaya