Haithamkim amefanyaje?

Haithamkim amefanyaje?

Nilishawahi kuvuta moshi wake ukanishinda maana ulikuwa unakaa wiki nzima nausikia nikajiuliza yanini yote haya...😂
Ahahahahah..
Bwana bwana..mimi najikubali na ushamba wangu maana ujue hiz starehe sijui ma shisha hayo sijui outing za gharama gharama ukituliza kichwa ukavitazama kwa logic utakuja elewa tu kuwa ni vitu exagurated very ovarated na havina impact kabisa ukiamua kuvikosa ukafanya mambo mengine ya kawaida tuu...ku stick kwenye basics
 
Kila mahali naona anapostiwa japo simjui ila kusema kweli situation aliyopo ni ngumu sana,mapafu kufail sio kitu kidogo.Aombe sana uponyaji wa Mungu.

Nliwaambia fanyeni starehe za ujana ila kwa kiasi nkaulizwa ukifa na afya njema ina faida gani..haya

Sent using Jamii Forums mobile app
Angalia sana watu wa kuwashauri my friend.Vijana wa sasa chagua sana mtu wa kumpa ushauri maana unaweza ukajiona labda huna ushauri mzuri kumbe unayemshauri ni tatizo.

Mjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake Na wala usitoe chakula cha watoto ukawapa mbwa..

Hawa vijana siku hiz kuna wengine unaona kabisa anaenda kuangamia na kupotea ila unatakiwa kumuacha akaumie tuu maana ukijaribu kumsaidia unaonekana kama unajipendekeza au hupend maendeleo ya watu vile wameamua kuishi
 
Back
Top Bottom