Haithamkim amefanyaje?

Hana Bima?
Hata kama anayo ila inapofikia tiba yake sindano kwa siku 700k bima ipi itafaa, hata kama angekuwa na bima ya 3.5m kwa mwaka pia isingetosha lazima angetakiwa kulipia gharama za ziada kwasababu sio kila bima inabeba maradhi yote otherwise ile bima premium ambayo ni ghali, possibly alikuwa na lupus ni ugonjwa unaohitaji pesa sana sitashangaa.
Mtu wangu wa karibu alikuwa nao kila baada ya miezi 3 sindano yake ni 2.8m
 
Serikali za afrika za kifala fala sana.Sasa serikali ita cover under whichi basics!? Yeye kama nani?
Wasanii wangapi wanaumia na serikal haina habar nao?

NB.
Sina nia mbaya
Sio wasanii sababu wao wana watu wa kuwapazia sauti,inshu ni je wananchi wangap wanaumwa na hawana watu wa kuwapazia sauti hadi serikali iwasaidie?
 
Nimesoma kwenye Millard Ayo a/c
 
Duh!
 
Nasikitika Kusema Kwamba Binti na msanii Haitham kim Amefariki Dunia

mungu amlaze mahali pema peponi
 
Halafu wewe ukanishtaki kwa moderator nikapigwa bun sawa tuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Pole πŸ˜‚ lile ni kosa hapa JF kujifanya unajua kuita watu majina tofauti na wanayoyatumia kwa wakati huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…