Haitopita miezi miwili bila Waziri Masauni au IGP Wambura kung'olewa ofisini

N
Nani amuguse Home Boy ! Unaota ndoto za mchana wewe
 
Kwani hao panya road walikuwa wanamchafua rais?
 
Kwani hao panya road walikuwa wanamchafua rais?
Raisi ni kama kocha. Timu inapofanya vibaya lawama anabeba kocha, na nchi inapokosa usalama lawama anabeba raisi. Hivyo waliyofanya panya road yaliichafua serikali ambayo inaongozwa na raisi.
 
Raisi ni kama kocha. Timu inapofanya vibaya lawama anabeba kocha, na nchi inapokosa usalama lawama anabeba raisi. Hivyo waliyofanya panya road yaliichafua serikali ambayo inaongozwa na raisi.
Ni wapi hao panya road ilisemekana wanatumwa na serekali? Ulisikia hao panya road wanafanya huo uhalifu kwa kushirikiana na vyombo vya dola? Huu utekaji na mauji ya wapinzani vyombo vya dola ndio wahusika wakuu.
 
kwa kauli ya bibi kutokutaka kuingiliwa, kunamaanisha ukweli kwa wanaojua kupima upepo uelekeapo
 
Tatizo kunaweza kuwepo na vitengo vingine vya usalama wenye kuchukua Maamuzi bila IGP kuwa na taarifa. Kinachoweza kutokea ni kujiuzulu kwa moja wao ili kuonyesha kupinga kuingilia kwa kazi zake au kukubali kuwa Bangusilo.
 
Bora itokee hivyo mkuu, kuliko kuendelea kutizama hali hii ikiendelea.
 
Inasikitisha sana.
 
Lakini bado tuna nafasi ya kutofika kule kama tutazuia mapema huu upuuzi kuendelea.
Jamii yetu ndiyo ufunguo, jamii imeficha ufunguo, jamii mafuvu yakirudishiwa akili itafanya maamuzi sahihi, (ikiendelea kukumbwa na majanga), hasira zikiwapanda ama kuwafura watachukua uwamuzi mgumu
 
Neither will happen, its time to be rigid
 
Kung'olewa kwani jino hilo, akili zenu machadema kama za kuku tu
 
Uwajibikaji huwa mgumu sana kwa hawa viongozi na wanasiasa wetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…