Haitopita miezi miwili bila Waziri Masauni au IGP Wambura kung'olewa ofisini

Haitopita miezi miwili bila Waziri Masauni au IGP Wambura kung'olewa ofisini

Maza hawezi kutengua wazanzibar wenzake, tangu ameingia 2021 hajawahi kutengua mzanzibar hata mmoja
 
Kama ni waerevu wangetoka mapema kabla ya kusubiri kuvuliwa nguo kama kina January. Na wao ilikuwa ni hivi hivi wakavimba vichwa na kujiona kuwa hawawezi kufanywa lolote.
Maza hawezi kutengua mzanzibar mwenzake hata dak 1, tangu ameingia sijawahi kusikia mzanzibar ameondolewa
 
Back
Top Bottom