Kuna watu wamekula chumvi humu... hongera kwa kuona nusu karne mkuu.Baada ya mechi mashabiki wa Yanga walikasirika sana mpaka kipa Sahau Kambi akang'olewa jino..nilikuwa chalii lakini kumbukumbu hiyo ninayo manake pale nje ya uwanja yalikuwa yanarushwa mawe. Kipindi hicho kulikuwa na jamaa aliyetrend sana wa kuitwa Maumba.
Nusu karne bado naitafutaKuna watu wamekula chumvi humu...hongera kwa kuona nusu karne mkuu
Hapana sahau Kambi Hakung'olewa jino, Ile Mechi Simba wali shinda 2-1 Kwa mchongo.Baada ya mechi mashabiki wa Yanga walikasirika sana mpaka kipa Sahau Kambi akang'olewa jino..nilikuwa chalii lakini kumbukumbu hiyo ninayo manake pale nje ya uwanja yalikuwa yanarushwa mawe. Kipindi hicho kulikuwa na jamaa aliyetrend sana wa kuitwa Maumba.
Umesema ukweli kuhusu minziro ila hukumalizia kuhusu mchango wa wanachama na kiasi kilichopatikanaHapana sahau Kambi Hakung'olewa jino, Ile Mechi Simba wali shinda 2-1 Kwa mchongo.
Ule mpira aliofungwa sahau Kambi ulikua wa juu Tena haukua na Nguvu na aliruka pekeyake hakukua na forward Aliye mzonga. Chakushangaza akaushika ukamponyoka, John Makelele aliku hajaruka mpira ukamwangukia mguuni akafunga.
Mchezaji wa Yanga aliyeng'oka jino Kwa miaka Ile alikua Fred Felex Minziro alipigwq kiwiko na Husen Masha wa Pamba.
Nakumbuka siku ya mechi Minziro alikua anacheza lakini alikua amefiwa na Baba yake ila alicheza hivyohivyo na yalimkuta ayo masahibu.Baada ya Mechi alikwenda Bukoba kuzika.
Simba ilinusurika kushuka daraja miaka mitatu mfululizo 1987, 1988, 1989.
Nijuavyo ni kwamba Yanga ilifungwa, haikuiachia SimbaVijana wengi mtakuwa hamna kumbukumbu ya huu msimu.
Yanga ilikubali kufungwa na Simba mechi ya mwisho ili simba isishuke daraja na kwa kufungwa huko Yanga ikakosa ubingwa.
N.B kwa new school aka "soccer Google" nawakumbusha "zamani" game moja ilikuwa na pointi 2 ukishinda!
Upendo huu haujawahi kutokea na haitokuja kutokea tena.
Mtu na Mai Wake [emoji172][emoji169]
utopolo siku zote mkifungwa hamkosi sababu nilikuwepo uwanjani kwa mpira uliochezwa hakukuwa na upangaji matokeo hayo mengine ni kujifariji baada ya kufungwaVijana wengi mtakuwa hamna kumbukumbu ya huu msimu.
Yanga ilikubali kufungwa na Simba mechi ya mwisho ili simba isishuke daraja na kwa kufungwa huko Yanga ikakosa ubingwa.
N.B kwa new school aka "soccer Google" nawakumbusha "zamani" game moja ilikuwa na pointi 2 ukishinda!
Upendo huu haujawahi kutokea na haitokuja kutokea tena.
Mtu na Mai Wake [emoji172][emoji169]
View attachment 2230677
Siyo shabiki wa upande wowote lakini wakongwe tunajua kilichotokea.Nijuavyo ni kwamba Yanga ilifungwa, haikuiachia Simba
Hapo juu wenzako wameeleza vizur jinsi mpira ulivyochezwa na goli kufungwa, Wakati Mwingine hata Kama haikuoendezi kuhusu ukweli wa kitu fulani ,Basi jitahidi tu kuwa mkweliutopolo siku zote mkifungwa hamkosi sababu nilikuwepo uwanjani kwa mpira uliochezwa hakukuwa na upangaji matokeo hayo mengine ni kujifariji baada ya kufungwa
mimi nilikuwa uwanjani wewe umesimuliaHapo juu wenzako wameeleza vizur jinsi mpira ulivyochezwa na goli kufungwa, Wakati Mwingine hata Kama haikuoendezi kuhusu ukweli wa kitu fulani ,Basi jitahidi tu kuwa mkweli
Kijiji bila wazee ni sawa kijana rijali bila mwanamke. Naanisha hakuna kijiji kinakosa wazeeKuna watu wamekula chumvi humu...hongera kwa kuona nusu karne mkuu
Umesema ukweli kuhusu minziro ila hukumalizia kuhusu mchango wa wanachama na kiasi kilichopatikane
Hapana sahau Kambi Hakung'olewa jino, Ile Mechi Simba wali shinda 2-1 Kwa mchongo.
Ule mpira aliofungwa sahau Kambi ulikua wa juu Tena haukua na Nguvu na aliruka pekeyake hakukua na forward Aliye mzonga. Chakushangaza akaushika ukamponyoka, John Makelele aliku hajaruka mpira ukamwangukia mguuni akafunga.
Mchezaji wa Yanga aliyeng'oka jino Kwa miaka Ile alikua Fred Felex Minziro alipigwq kiwiko na Husen Masha
Simba iligawanyika ikawa na timu 2, Nyota Nyekundu na Simba. Yanga ilifungwa tu kimchezo... Sahau Kambi wanamsingizia tu alijisahau kama ilivyokuwa kawaida yake.Vijana wengi mtakuwa hamna kumbukumbu ya huu msimu.
Yanga ilikubali kufungwa na Simba mechi ya mwisho ili simba isishuke daraja na kwa kufungwa huko Yanga ikakosa ubingwa.
N.B kwa new school aka "soccer Google" nawakumbusha "zamani" game moja ilikuwa na pointi 2 ukishinda!
Upendo huu haujawahi kutokea na haitokuja kutokea tena.
Mtu na Mai Wake [emoji172][emoji169]
View attachment 2230677
Huyu bado mdogo sana ndy maana anajibu kishabikiHapo juu wenzako wameeleza vizur jinsi mpira ulivyochezwa na goli kufungwa, Wakati Mwingine hata Kama haikuoendezi kuhusu ukweli wa kitu fulani ,Basi jitahidi tu kuwa mkweli
Kilitokea nini?Siyo shabiki wa upande wowote lakini wakongwe tunajua kilichotokea.