Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Umeingia JF mwaka 2015, nimeingia humu 2009Umezaliwa mwaka tisini na ngapi kijana?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeingia JF mwaka 2015, nimeingia humu 2009Umezaliwa mwaka tisini na ngapi kijana?
Hizi timu haziwezi kushuka daraja kwani nje ya burudani ya soka, zinasaidia sana kuweka amani na utulivu,Hakuna kitu kama hicho, hakunaga upendo wa dzaini hiyo kwenye hizi d3rby
Hapa tu, tulipo bado tunaombeana kufungwa na timu za nje katika mashindano ya kimataifa
Tunaombeana dua timu zitolewe mapema na timu za nje ili mradi tu kumuona mtani wako ana safa
Niambie huo upendo wa Yanga kumuachia Simba amfunge ili asishuke daraja unakujaje?
Wakati hata hapa kuna watu wanataka timu ishushwe daraja ili wao watambe
Katika huo mwaka ambao mtoa mada kautaja siku ya hiyo mechi ilikuwa inamtegemea Yanga kutangazwa ubingwa endapo atashinda au kutoa sare
Dakika ya 21 simba alipachika bao lakuongoza kwa mchezaji Edward Chumila
Kumbuka hapo simba alihitaji matokeo ya ushindi ili kuweza kusalia ligi kuu
Yanga wakaja kusawazisha dakika ya 36 na kufanya mpira uende mapumziko kwa droo ya moja moja
Dakika ya 58 kuna player wa simba alijulikana kama zigzag huyu alitupia kamba bao la pili la kuongoza na hili ndio lilidumu mpaka mwisho wa mchezo
Sio kweli kuwa Yanga aliisaidia simba isishuke daraja kwasababu kichapo walichopigwa Yanga kiliwafanya wakose ubingwa ambao nao walikuwa wanautegemea
Kongole ya mtu aliyeinusuru Simba isiweze kushuka daraja ni huyo zigzag kwa kufunga bao la pili, the rest ni kujipa ujiko ambao wote tunajua haiwezekani hata kwa namna yeyote Yanga kumsaidia Simba
Sawa kabisaNi sawa na mtu ukatae kuwa fulani na fulani hawajawahi kuwa marafiki eti kwa sababu tu nyakati hizi wamekorofishana.
Maumba ana uhusiano gn na mechi hyo?Baada ya mechi mashabiki wa Yanga walikasirika sana mpaka kipa Sahau Kambi akang'olewa jino..nilikuwa chalii lakini kumbukumbu hiyo ninayo manake pale nje ya uwanja yalikuwa yanarushwa mawe. Kipindi hicho kulikuwa na jamaa aliyetrend sana wa kuitwa Maumba.
Utopolo Msijifiche kwenye kichaka cha huruma.Vijana wengi mtakuwa hamna kumbukumbu ya huu msimu.
Yanga ilikubali kufungwa na Simba mechi ya mwisho ili simba isishuke daraja na kwa kufungwa huko Yanga ikakosa ubingwa.
N.B kwa new school aka "soccer Google" nawakumbusha "zamani" game moja ilikuwa na pointi 2 ukishinda!
Upendo huu haujawahi kutokea na haitokuja kutokea tena.
Mtu na Mai Wake [emoji172][emoji169]
View attachment 2230677
Wacha uwongo wako wewe,na zile 5 za juzi kati hapo mlikuwa mnawaachia Simba wasifanye nini?Siyo shabiki wa upande wowote lakini wakongwe tunajua kilichotokea.
Kudadek[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji39]Tambua pia kuwa hata wajinga na mateja huzeeka. Ova.