Kipindi hicho walikuwa hawajaanza michezo Yao ya kutambika uwanjani, cheki kina Scars wanavyopata tabu kuwatetea kipindi hiki. [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Vijana wengi mtakuwa hamna kumbukumbu ya huu msimu.
Yanga ilikubali kufungwa na Simba mechi ya mwisho ili simba isishuke daraja na kwa kufungwa huko Yanga ikakosa ubingwa.
N.B kwa new school aka "soccer Google" nawakumbusha "zamani" game moja ilikuwa na pointi 2 ukishinda!
Upendo huu haujawahi kutokea na haitokuja kutokea tena.
Mtu na Mai Wake [emoji172][emoji169]
View attachment 2230677
Hakuna kitu kama hicho, hakunaga upendo wa dzaini hiyo kwenye hizi d3rbySafi sana.haya mambo wakubwa muwe mnasema kuna vi-broiler vinahisi Simba na Yanga ni maadui wa kupigana mpaka kuuwana.
Kipindi hicho mechi ya Simba na yanga unalipa waamuzi na maofisa fat mwaka mzima,na posho za wachezaji,kwa hiyo lazima Simba na yanga wawepo ligiSafi sana.haya mambo wakubwa muwe mnasema kuna vi-broiler vinahisi Simba na Yanga ni maadui wa kupigana mpaka kuuwana.
Mechi ya Simba na yanga ilikua unalipa marefa,maofisa fat na posho za wachezaji mwaka mzima,hapakua na mdhamini wa ligi Wala klabu,so hao mapacha sharti wawepo kwenye ligiHakuna kitu kama hicho, hakunaga upendo wa dzaini hiyo kwenye hizi d3rby
Hapa tu, tulipo bado tunaombeana kufungwa na timu za nje katika mashindano ya kimataifa
Tunaombeana dua timu zitolewe mapema na timu za nje ili mradi tu kumuona mtani wako ana safa
Niambie huo upendo wa Yanga kumuachia Simba amfunge ili asishuke daraja unakujaje?
Wakati hata hapa kuna watu wanataka timu ishushwe daraja ili wao watambe
Katika huo mwaka ambao mtoa mada kautaja siku ya hiyo mechi ilikuwa inamtegemea Yanga kutangazwa ubingwa endapo atashinda au kutoa sare
Dakika ya 21 simba alipachika bao lakuongoza kwa mchezaji Edward Chumila
Kumbuka hapo simba alihitaji matokeo ya ushindi ili kuweza kusalia ligi kuu
Yanga wakaja kusawazisha dakika ya 36 na kufanya mpira uende mapumziko kwa droo ya moja moja
Dakika ya 58 kuna player wa simba alijulikana kama zigzag huyu alitupia kamba bao la pili la kuongoza na hili ndio lilidumu mpaka mwisho wa mchezo
Sio kweli kuwa Yanga aliisaidia simba isishuke daraja kwasababu kichapo walichopigwa Yanga kiliwafanya wakose ubingwa ambao nao walikuwa wanautegemea
Kongole ya mtu aliyeinusuru Simba isiweze kushuka daraja ni huyo zigzag kwa kufunga bao la pili, the rest ni kujipa ujiko ambao wote tunajua haiwezekani hata kwa namna yeyote Yanga kumsaidia Simba
Hakuna kitu kama hicho, huu utamaduni ulikuwepo miaka mingi kinachofanya uone utofauti ni zama za kipimdi hicho kuwa za giza hakuna mifumo digital ya kimawasiliano kama hiviKipindi hicho walikuwa hawajaanza michezo Yao ya kutambika uwanjani, cheki kina Scars wanavyopata tabu kuwatetea kipindi hiki. [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Mkuu kuna uwezekano kuna mahali chuki imeanzia pengine ni mtu kupandikiza au pengine kuna sababu iliyopelekea mpaka upendo baina hivi vilabu kuvunjika. Simba na Yanga zimekuwa ni zaidi ya maadui kwasasa kila mmoja anakuwa mchawi kwa maendeleo ya mwenzieHakuna kitu kama hicho, hakunaga upendo wa dzaini hiyo kwenye hizi d3rby
Hapa tu, tulipo bado tunaombeana kufungwa na timu za nje katika mashindano ya kimataifa
Tunaombeana dua timu zitolewe mapema na timu za nje ili mradi tu kumuona mtani wako ana safa
Niambie huo upendo wa Yanga kumuachia Simba amfunge ili asishuke daraja unakujaje?
Wakati hata hapa kuna watu wanataka timu ishushwe daraja ili wao watambe
Katika huo mwaka ambao mtoa mada kautaja siku ya hiyo mechi ilikuwa inamtegemea Yanga kutangazwa ubingwa endapo atashinda au kutoa sare
Dakika ya 21 simba alipachika bao lakuongoza kwa mchezaji Edward Chumila
Kumbuka hapo simba alihitaji matokeo ya ushindi ili kuweza kusalia ligi kuu
Yanga wakaja kusawazisha dakika ya 36 na kufanya mpira uende mapumziko kwa droo ya moja moja
Dakika ya 58 kuna player wa simba alijulikana kama zigzag huyu alitupia kamba bao la pili la kuongoza na hili ndio lilidumu mpaka mwisho wa mchezo
Sio kweli kuwa Yanga aliisaidia simba isishuke daraja kwasababu kichapo walichopigwa Yanga kiliwafanya wakose ubingwa ambao nao walikuwa wanautegemea
Kongole ya mtu aliyeinusuru Simba isiweze kushuka daraja ni huyo zigzag kwa kufunga bao la pili, the rest ni kujipa ujiko ambao wote tunajua haiwezekani hata kwa namna yeyote Yanga kumsaidia Simba
Mkuu sio kipindi hichoKipindi hicho mechi ya Simba na yanga unalipa waamuzi na maofisa fat mwaka mzima,na posho za wachezaji,kwa hiyo lazima Simba na yanga wawepo ligi
Tambua pia kuwa hata wajinga na mateja huzeeka. Ova.Kijiji bila wazee ni sawa kijana rijali bila mwanamke. Naanisha hakuna kijiji kinakosa wazee
Tupo humu mkuu Born Before Computer (BCC) ila those days tulikuwa underground tunaingia mpirani kwa kiingilio cha mtoto. Nyie zama zenu hata kiingilio cha watoto hakunaKuna watu wamekula chumvi humu... hongera kwa kuona nusu karne mkuu.
Mkuu chichiboy1 angalia majina unayojiita sisi tunajua ni kijana mwenzetu kumbe mileage zimesogea hivyo??Baada ya mechi mashabiki wa Yanga walikasirika sana mpaka kipa Sahau Kambi akang'olewa jino..nilikuwa chalii lakini kumbukumbu hiyo ninayo manake pale nje ya uwanja yalikuwa yanarushwa mawe. Kipindi hicho kulikuwa na jamaa aliyetrend sana wa kuitwa Maumba.
Aisee...Baada ya mechi mashabiki wa Yanga walikasirika sana mpaka kipa Sahau Kambi akang'olewa jino..nilikuwa chalii lakini kumbukumbu hiyo ninayo manake pale nje ya uwanja yalikuwa yanarushwa mawe. Kipindi hicho kulikuwa na jamaa aliyetrend sana wa kuitwa Maumba.
Okay ok...Hapana sahau Kambi Hakung'olewa jino, Ile Mechi Simba wali shinda 2-1 Kwa mchongo.
Ule mpira aliofungwa sahau Kambi ulikua wa juu Tena haukua na Nguvu na aliruka pekeyake hakukua na forward Aliye mzonga. Chakushangaza akaushika ukamponyoka, John Makelele aliku hajaruka mpira ukamwangukia mguuni akafunga.
Mchezaji wa Yanga aliyeng'oka jino Kwa miaka Ile alikua Fred Felex Minziro alipigwq kiwiko na Husen Masha wa Pamba.
Nakumbuka siku ya mechi Minziro alikua anacheza lakini alikua amefiwa na Baba yake ila alicheza hivyohivyo na yalimkuta ayo masahibu.Baada ya Mechi alikwenda Bukoba kuzika.
Simba ilinusurika kushuka daraja miaka mitatu mfululizo 1987, 1988, 1989.
Haya majamaa Waongo sana, wakati wao walitamani waingize kwenye historia Simba kushuka daraja.Hakuna kitu kama hicho, hakunaga upendo wa dzaini hiyo kwenye hizi d3rby
Hapa tu, tulipo bado tunaombeana kufungwa na timu za nje katika mashindano ya kimataifa
Tunaombeana dua timu zitolewe mapema na timu za nje ili mradi tu kumuona mtani wako ana safa
Niambie huo upendo wa Yanga kumuachia Simba amfunge ili asishuke daraja unakujaje?
Wakati hata hapa kuna watu wanataka timu ishushwe daraja ili wao watambe
Katika huo mwaka ambao mtoa mada kautaja siku ya hiyo mechi ilikuwa inamtegemea Yanga kutangazwa ubingwa endapo atashinda au kutoa sare
Dakika ya 21 simba alipachika bao lakuongoza kwa mchezaji Edward Chumila
Kumbuka hapo simba alihitaji matokeo ya ushindi ili kuweza kusalia ligi kuu
Yanga wakaja kusawazisha dakika ya 36 na kufanya mpira uende mapumziko kwa droo ya moja moja
Dakika ya 58 kuna player wa simba alijulikana kama zigzag huyu alitupia kamba bao la pili la kuongoza na hili ndio lilidumu mpaka mwisho wa mchezo
Sio kweli kuwa Yanga aliisaidia simba isishuke daraja kwasababu kichapo walichopigwa Yanga kiliwafanya wakose ubingwa ambao nao walikuwa wanautegemea
Kongole ya mtu aliyeinusuru Simba isiweze kushuka daraja ni huyo zigzag kwa kufunga bao la pili, the rest ni kujipa ujiko ambao wote tunajua haiwezekani hata kwa namna yeyote Yanga kumsaidia Simba
Hujui kitu shabiki mandaziHakuna kitu kama hicho, huu utamaduni ulikuwepo miaka mingi kinachofanya uone utofauti ni zama za kipimdi hicho kuwa za giza hakuna mifumo digital ya kimawasiliano kama hivi
Ila wazo la kusema Yanga alimsaidia Simba huo ni uongo, hizi timu hazijawahi kuwa na upendo huo na kuendelea kulizungumza hapa ni kuonesha sifa nyingine ya unafki.
Yanga ambaye akimuona Simba kimataifa ananunua jezi za mpinzani na kumshangilia, kumuombea dua afungwe ikiwezekana atolewe kwenye mashindano yenyewe halafu huyu huyu Yanga unaambiwa alimnusuru Simb asishuke daraja ina make sense hiyo?
Halafu wengi mnasihia kusoma heading tu hamchimbi kwa kina, kwasababu ile mechi Simba ndie aliyeanza kupata bao la kuongoza
Bao ambao lilifungwa kiufundi na Yanga walikasirika na kuoanga mikakati mipya kusawazisha bao hilo na kweli wakafanikiwa kurejesha furaha kwa mashabiki wao mnamo dakika ya 38
Simba kipindi cha pili akaja kuongeza bao la pili tena katika dakika za mwanzoni tu
Sasa ni mazingira gani hapo unaweza ukasema Yanga walifanya kwa makusudi ili kuipelekea Simba kufunga goli kuwanusuru wasishuke daraja?
Kumbuka hiyo mechi pengine walikuwa na uhitaji nayonsana kuliko hata simba kwasababu matokeo yeyote ya sare au kushinda yangewafanya wabebe kombe lakini haikuwa hivyo
Ni sawa na mtu ukatae kuwa fulani na fulani hawajawahi kuwa marafiki eti kwa sababu tu nyakati hizi wamekorofishana.Hujui kitu shabiki mandazi