HAITOTOKEA: Msimu Pekee Ambao Yanga SC Ilikubali Kupoteza Ubingwa Ili Simba SC Asishuke Daraja

Vijana wengi mtakuwa hamna kumbukumbu ya huu msimu.

Yanga ilikubali kufungwa na Simba mechi ya mwisho ili simba isishuke daraja na kwa kufungwa huko Yanga ikakosa ubingwa.

N.B kwa new school aka "soccer Google" nawakumbusha "zamani" game moja ilikuwa na pointi 2 ukishinda!

Upendo huu haujawahi kutokea na haitokuja kutokea tena.

Mtu na Mai Wake [emoji172][emoji169]

View attachment 2230677
Kipindi hicho walikuwa hawajaanza michezo Yao ya kutambika uwanjani, cheki kina Scars wanavyopata tabu kuwatetea kipindi hiki. [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Safi sana.haya mambo wakubwa muwe mnasema kuna vi-broiler vinahisi Simba na Yanga ni maadui wa kupigana mpaka kuuwana.
Hakuna kitu kama hicho, hakunaga upendo wa dzaini hiyo kwenye hizi d3rby

Hapa tu, tulipo bado tunaombeana kufungwa na timu za nje katika mashindano ya kimataifa

Tunaombeana dua timu zitolewe mapema na timu za nje ili mradi tu kumuona mtani wako ana safa

Niambie huo upendo wa Yanga kumuachia Simba amfunge ili asishuke daraja unakujaje?

Wakati hata hapa kuna watu wanataka timu ishushwe daraja ili wao watambe

Katika huo mwaka ambao mtoa mada kautaja siku ya hiyo mechi ilikuwa inamtegemea Yanga kutangazwa ubingwa endapo atashinda au kutoa sare

Dakika ya 21 simba alipachika bao lakuongoza kwa mchezaji Edward Chumila

Kumbuka hapo simba alihitaji matokeo ya ushindi ili kuweza kusalia ligi kuu

Yanga wakaja kusawazisha dakika ya 36 na kufanya mpira uende mapumziko kwa droo ya moja moja

Dakika ya 58 kuna player wa simba alijulikana kama zigzag huyu alitupia kamba bao la pili la kuongoza na hili ndio lilidumu mpaka mwisho wa mchezo

Sio kweli kuwa Yanga aliisaidia simba isishuke daraja kwasababu kichapo walichopigwa Yanga kiliwafanya wakose ubingwa ambao nao walikuwa wanautegemea

Kongole ya mtu aliyeinusuru Simba isiweze kushuka daraja ni huyo zigzag kwa kufunga bao la pili, the rest ni kujipa ujiko ambao wote tunajua haiwezekani hata kwa namna yeyote Yanga kumsaidia Simba
 
Kipindi hicho mechi ya Simba na yanga unalipa waamuzi na maofisa fat mwaka mzima,na posho za wachezaji,kwa hiyo lazima Simba na yanga wawepo ligi
 
Mechi ya Simba na yanga ilikua unalipa marefa,maofisa fat na posho za wachezaji mwaka mzima,hapakua na mdhamini wa ligi Wala klabu,so hao mapacha sharti wawepo kwenye ligi
 
Kipindi hicho walikuwa hawajaanza michezo Yao ya kutambika uwanjani, cheki kina Scars wanavyopata tabu kuwatetea kipindi hiki. [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Hakuna kitu kama hicho, huu utamaduni ulikuwepo miaka mingi kinachofanya uone utofauti ni zama za kipimdi hicho kuwa za giza hakuna mifumo digital ya kimawasiliano kama hivi

Ila wazo la kusema Yanga alimsaidia Simba huo ni uongo, hizi timu hazijawahi kuwa na upendo huo na kuendelea kulizungumza hapa ni kuonesha sifa nyingine ya unafki.

Yanga ambaye akimuona Simba kimataifa ananunua jezi za mpinzani na kumshangilia, kumuombea dua afungwe ikiwezekana atolewe kwenye mashindano yenyewe halafu huyu huyu Yanga unaambiwa alimnusuru Simb asishuke daraja ina make sense hiyo?

Halafu wengi mnasihia kusoma heading tu hamchimbi kwa kina, kwasababu ile mechi Simba ndie aliyeanza kupata bao la kuongoza

Bao ambao lilifungwa kiufundi na Yanga walikasirika na kuoanga mikakati mipya kusawazisha bao hilo na kweli wakafanikiwa kurejesha furaha kwa mashabiki wao mnamo dakika ya 38

Simba kipindi cha pili akaja kuongeza bao la pili tena katika dakika za mwanzoni tu

Sasa ni mazingira gani hapo unaweza ukasema Yanga walifanya kwa makusudi ili kuipelekea Simba kufunga goli kuwanusuru wasishuke daraja?

Kumbuka hiyo mechi pengine walikuwa na uhitaji nayonsana kuliko hata simba kwasababu matokeo yeyote ya sare au kushinda yangewafanya wabebe kombe lakini haikuwa hivyo
 
Wakati Yanga imepoteana miaka mmne iliyopita alikuwa akikutana na simba Simba anapata tabu mpaka wakati mwingine Simba kufungwa. Kwamba Simba kauza?
 
Hakuna kitu kama hicho, hakunaga upendo wa dzaini hiyo kwenye hizi d3rby

Hapa tu, tulipo bado tunaombeana kufungwa na timu za nje katika mashindano ya kimataifa

Tunaombeana dua timu zitolewe mapema na timu za nje ili mradi tu kumuona mtani wako ana safa

Niambie huo upendo wa Yanga kumuachia Simba amfunge ili asishuke daraja unakujaje?

Wakati hata hapa kuna watu wanataka timu ishushwe daraja ili wao watambe

Katika huo mwaka ambao mtoa mada kautaja siku ya hiyo mechi ilikuwa inamtegemea Yanga kutangazwa ubingwa endapo atashinda au kutoa sare

Dakika ya 21 simba alipachika bao lakuongoza kwa mchezaji Edward Chumila

Kumbuka hapo simba alihitaji matokeo ya ushindi ili kuweza kusalia ligi kuu

Yanga wakaja kusawazisha dakika ya 36 na kufanya mpira uende mapumziko kwa droo ya moja moja

Dakika ya 58 kuna player wa simba alijulikana kama zigzag huyu alitupia kamba bao la pili la kuongoza na hili ndio lilidumu mpaka mwisho wa mchezo

Sio kweli kuwa Yanga aliisaidia simba isishuke daraja kwasababu kichapo walichopigwa Yanga kiliwafanya wakose ubingwa ambao nao walikuwa wanautegemea

Kongole ya mtu aliyeinusuru Simba isiweze kushuka daraja ni huyo zigzag kwa kufunga bao la pili, the rest ni kujipa ujiko ambao wote tunajua haiwezekani hata kwa namna yeyote Yanga kumsaidia Simba
Mkuu kuna uwezekano kuna mahali chuki imeanzia pengine ni mtu kupandikiza au pengine kuna sababu iliyopelekea mpaka upendo baina hivi vilabu kuvunjika. Simba na Yanga zimekuwa ni zaidi ya maadui kwasasa kila mmoja anakuwa mchawi kwa maendeleo ya mwenzie
 
Kipindi hicho mechi ya Simba na yanga unalipa waamuzi na maofisa fat mwaka mzima,na posho za wachezaji,kwa hiyo lazima Simba na yanga wawepo ligi
Mkuu sio kipindi hicho
Mpaka wa leo ndio maana tifutifu hufyata mkia mbele yao
Kumbuka kipindi Simba walitishia kujitoa ligi kuu bila matakwa yao kusikilizwa
 
Baada ya mechi mashabiki wa Yanga walikasirika sana mpaka kipa Sahau Kambi akang'olewa jino..nilikuwa chalii lakini kumbukumbu hiyo ninayo manake pale nje ya uwanja yalikuwa yanarushwa mawe. Kipindi hicho kulikuwa na jamaa aliyetrend sana wa kuitwa Maumba.
Mkuu chichiboy1 angalia majina unayojiita sisi tunajua ni kijana mwenzetu kumbe mileage zimesogea hivyo??
 
Baada ya mechi mashabiki wa Yanga walikasirika sana mpaka kipa Sahau Kambi akang'olewa jino..nilikuwa chalii lakini kumbukumbu hiyo ninayo manake pale nje ya uwanja yalikuwa yanarushwa mawe. Kipindi hicho kulikuwa na jamaa aliyetrend sana wa kuitwa Maumba.
Aisee...
Heshima yako.
 
Hapana sahau Kambi Hakung'olewa jino, Ile Mechi Simba wali shinda 2-1 Kwa mchongo.
Ule mpira aliofungwa sahau Kambi ulikua wa juu Tena haukua na Nguvu na aliruka pekeyake hakukua na forward Aliye mzonga. Chakushangaza akaushika ukamponyoka, John Makelele aliku hajaruka mpira ukamwangukia mguuni akafunga.
Mchezaji wa Yanga aliyeng'oka jino Kwa miaka Ile alikua Fred Felex Minziro alipigwq kiwiko na Husen Masha wa Pamba.
Nakumbuka siku ya mechi Minziro alikua anacheza lakini alikua amefiwa na Baba yake ila alicheza hivyohivyo na yalimkuta ayo masahibu.Baada ya Mechi alikwenda Bukoba kuzika.
Simba ilinusurika kushuka daraja miaka mitatu mfululizo 1987, 1988, 1989.
Okay ok...
 
Semeni na ile Simba kuweka mpira kwapani kipindi cha pili.
 
Kuna ushahidi gani kuwa walikubali na sio walizidiwa?.

Kwamba hao waliokuwa wanashindana nao hawakuwa na uwezo wa kushinda?...Kwamba wao walicheza pungufu hivy walikuwa lazima Yanga ingeshinda tu?.

Hizi ni porojo tu kama porojo nyingine.
 
Hakuna kitu kama hicho, hakunaga upendo wa dzaini hiyo kwenye hizi d3rby

Hapa tu, tulipo bado tunaombeana kufungwa na timu za nje katika mashindano ya kimataifa

Tunaombeana dua timu zitolewe mapema na timu za nje ili mradi tu kumuona mtani wako ana safa

Niambie huo upendo wa Yanga kumuachia Simba amfunge ili asishuke daraja unakujaje?

Wakati hata hapa kuna watu wanataka timu ishushwe daraja ili wao watambe

Katika huo mwaka ambao mtoa mada kautaja siku ya hiyo mechi ilikuwa inamtegemea Yanga kutangazwa ubingwa endapo atashinda au kutoa sare

Dakika ya 21 simba alipachika bao lakuongoza kwa mchezaji Edward Chumila

Kumbuka hapo simba alihitaji matokeo ya ushindi ili kuweza kusalia ligi kuu

Yanga wakaja kusawazisha dakika ya 36 na kufanya mpira uende mapumziko kwa droo ya moja moja

Dakika ya 58 kuna player wa simba alijulikana kama zigzag huyu alitupia kamba bao la pili la kuongoza na hili ndio lilidumu mpaka mwisho wa mchezo

Sio kweli kuwa Yanga aliisaidia simba isishuke daraja kwasababu kichapo walichopigwa Yanga kiliwafanya wakose ubingwa ambao nao walikuwa wanautegemea

Kongole ya mtu aliyeinusuru Simba isiweze kushuka daraja ni huyo zigzag kwa kufunga bao la pili, the rest ni kujipa ujiko ambao wote tunajua haiwezekani hata kwa namna yeyote Yanga kumsaidia Simba
Haya majamaa Waongo sana, wakati wao walitamani waingize kwenye historia Simba kushuka daraja.
 
Hakuna kitu kama hicho, huu utamaduni ulikuwepo miaka mingi kinachofanya uone utofauti ni zama za kipimdi hicho kuwa za giza hakuna mifumo digital ya kimawasiliano kama hivi

Ila wazo la kusema Yanga alimsaidia Simba huo ni uongo, hizi timu hazijawahi kuwa na upendo huo na kuendelea kulizungumza hapa ni kuonesha sifa nyingine ya unafki.

Yanga ambaye akimuona Simba kimataifa ananunua jezi za mpinzani na kumshangilia, kumuombea dua afungwe ikiwezekana atolewe kwenye mashindano yenyewe halafu huyu huyu Yanga unaambiwa alimnusuru Simb asishuke daraja ina make sense hiyo?

Halafu wengi mnasihia kusoma heading tu hamchimbi kwa kina, kwasababu ile mechi Simba ndie aliyeanza kupata bao la kuongoza

Bao ambao lilifungwa kiufundi na Yanga walikasirika na kuoanga mikakati mipya kusawazisha bao hilo na kweli wakafanikiwa kurejesha furaha kwa mashabiki wao mnamo dakika ya 38

Simba kipindi cha pili akaja kuongeza bao la pili tena katika dakika za mwanzoni tu

Sasa ni mazingira gani hapo unaweza ukasema Yanga walifanya kwa makusudi ili kuipelekea Simba kufunga goli kuwanusuru wasishuke daraja?

Kumbuka hiyo mechi pengine walikuwa na uhitaji nayonsana kuliko hata simba kwasababu matokeo yeyote ya sare au kushinda yangewafanya wabebe kombe lakini haikuwa hivyo
Hujui kitu shabiki mandazi
 
Back
Top Bottom