Twin Tower
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 2,170
- 3,067
Laki 1 ni only Dar to Znz…
Arusha to Dar laki 1 famchezo nini [emoji23]
Wacha tusafiri na bus usiku… kesho naijaribu safari ya usiku.
Utuletee experience yako hapa. Uelekeo wap tafadhari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Laki 1 ni only Dar to Znz…
Arusha to Dar laki 1 famchezo nini [emoji23]
Wacha tusafiri na bus usiku… kesho naijaribu safari ya usiku.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Dar to Kigoma nauri iwe laki moja[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849] labda kwa usafiri huuView attachment 2779925
Nitaleta.. safari ni saa 1 jioni.. nikifika Tanga nitakuwa nishapata ka story ka kusimuliaUtuletee experience yako hapa. Uelekeo wap tafadhari
usingesoma ungemuelewa mtoa mada kwa kuwa umelishwa ujinga huwez kumuelewa..
Broo nauli laki 2 wamepanda watu sita alafu nauli laki wamepanda watu sitini.. Kwa akili yako ya shulen nan anapata pesa ndefu...
Kila usafiri una mahitaji yake na aina ya watu. Laki moja ni kwenda na kurudi kwa mtu wa kawaida. Tz ina watu wa kawaida.Hivi haiwezekani ATC iwe na ndege ambayo kwa mfano itacharge shs 100,000/- kwa safari za ndani ya nchi na iwe maalum kwa viwanja vyenye abiria wa kujaza ndege.
Mfano: Mwanza, Kigoma, Kilimanjaro, Arusha, Dodoma (hata mara 4 kwa siku).
Mbadala wake, waruhusu mabasi yatembee usiku; ili yafike yanakokwenda asubuhi.
Ukweli tunapoteza muda mwingi sana barabarani.
Chukua mabasi 500 yanatembea mchana kutwa. Ina maana kuna karibia 25,000 hawafanyi kazi mchana kutwa.
Sawasawa 👍 👍Una uhakika gani kwamba sijaelewa au kwa vile nimeandika mtazamo tofauti na wewe?
Usiwe mwepesi kutoa matusi ya rejareja kwa watu kwa sababu unaamini unajua sana kuliko watu/mtu mwingine
Naona wewe kama ilivyo kwa mleta mada, fikra yenu imebanwa kwenye dimension moja tu ambayo ni ya kihisabati zaidi wakati bei za tiketi za ndege hazipangwi kwa mtazamo kama huo...
"Airlines aren't in the business of filling sears - they're in the business of making money and getting as much as possible for the entire flights", hii ni nukuu ya Scott Keyes ambaye ni CEO wa Going mtandao unaosaidia wateja kupata tiketi za ndege za bei nafuu...
Maamuzi ya bei ya tiketi ya ndege kwa mashirika yote hutegemea vitu vingi, na katika hivyo vitu vingi hakuna sababu kama hii unayotaja ya kwamba, "nauli ikiwa ndogo basi shirika litapata wasafiri wengi zaidi"
Siwezi andika mambo yote shughuli zangu binafsi zaningoja hapa, kama unataka kuelewa zaidi hayo niliyoaandika unaweza ukagoogle, "how does airline pricing work".
AiseeNitaleta.. safari ni saa 1 jioni.. nikifika Tanga nitakuwa nishapata ka story ka kusimulia
Nauli ya two ways kigoma ni sawa na two ways jo'bergHivi tumeshajiuliza kwanini nauli ya Dar kwenda Dubai au Afrika Kusini ni rahisi kuliko Dar kwenda Nairobi, ikipata jibu utaelewa.
Mishahara ya mtu kwa miezi mitatuNauli moja tu ya ndege sawa na mshahara wa mtu
AIRLINK imekuja juzi tu imechukua route ya kwenda kwa madiba
Hata sijui walikuwa wapi wakati watanzania wanajaza ndege kila siku kwenda south.
Mbona fast jet iliweza na ilikuwa campuni tu ya kishkaji?
Ukweli nawaelewa sana private sector.....hawana longo longo....
Hawa watakuwa 👽 Tu.Dar to Kigoma nauri iwe laki moja[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849] labda kwa usafiri huuView attachment 2779925
Nauli ya basi Dar -Mwanza = 60,000 TSH ndege ndio watoze 100,000/= acha kujidhalilisha dadaHivi haiwezekani ATC iwe na ndege ambayo kwa mfano itacharge shs 100,000/- kwa safari za ndani ya nchi na iwe maalum kwa viwanja vyenye abiria wa kujaza ndege.
Mfano: Mwanza, Kigoma, Kilimanjaro, Arusha, Dodoma (hata mara 4 kwa siku).
Mbadala wake, waruhusu mabasi yatembee usiku; namaanisha yaanze safari kati ya saa kumi na mbili jioni (18h00) na saa mbili (20h00) jioni hivi; Ili yafike yanakokwenda Asubuhi. Ile ya kuanza safari sijui saa kumi na moja alfajiri (05h00) haisaidii sana, labda kwa kama 15% tu
Ukweli tunapoteza muda mwingi sana barabarani. Chukua mabasi 500 yanatembea mchana kutwa. Ina maana kuna karibia 25,000 hawafanyi kazi mchana kutwa.