mwanadome
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 4,950
- 5,317
Kilomoni alitangulizwa tuuSasa wamejitokeza waziwazi, baada ya waliyekuwa wanamtumia kushindwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kilomoni alitangulizwa tuuSasa wamejitokeza waziwazi, baada ya waliyekuwa wanamtumia kushindwa.
Hilo nimekua nalisikia miaka yotehizi timu zinatumiwa na system
Tanzania inakwamishwa na viongozi wetu wenyewe.Sasa anasemaje haiwezekani Kwani si ni idadi ya hisa zinazouzwa au kama ni sheria inakataza ni sababu gani sheria inakataza kuna ubaya gani au ndo hizo sheria wanazotuka kwa miswada ya dharura. Yaani Waziri ana Phd lakini kama vile haitusaidii kabisa kwenye michezo. Kwenye sanaa nako makatazo tu kwenye michezo nako hivo hivo wakati inafahamika kuwa uwekezaji kwenye michezo ni wa kusuasua angalau Simba inaonekana kupiga hatua naona serikali anataka kuanzisha figisu figisu ili MO ajiondoe timu ianze kuhangaika. Sijui nani aliyetuloga.
Ni ujinga sana mkuuKama kawaida hawa jamaa siku zote huwa wanaharibu tu,serikali ya ccm majanga tupu
Mkuu. serikali wanafurahia migogoro ya simba na yanga,
Yote hayo ni kuwadhibiti wenye hela zao
Huyu Mwakyembe atakuwa na PhD fakeTFF hajapata mdhamin wa Ligi Kuu
Yanga - haijapata Mdhamin
Bado unataka asilimia 49 zigawanywe kwa watu watatu, Mzee nakuheshimu ila lingentoka tusi hapa...
Kama ni rahisi zile ruzuku za vyama vyao vya siasa zianze kupewa club za soka.
Yanga inadhaminiwa na sport pesa mkuu.TFF hajapata mdhamin wa Ligi Kuu
Yanga - haijapata Mdhamin
Bado unataka asilimia 49 zigawanywe kwa watu watatu, Mzee nakuheshimu ila lingentoka tusi hapa...
Kama ni rahisi zile ruzuku za vyama vyao vya siasa zianze kupewa club za soka.
PhD yake haikusaidii kwasabb uelewa wako ni wa darasa la pili ..itakuwa ngumu sana kwako kumuelewa mwenye PHD. Ushauri rudi Shule ukuze ufahamu wakoSasa anasemaje haiwezekani Kwani si ni idadi ya hisa zinazouzwa au kama ni sheria inakataza ni sababu gani sheria inakataza kuna ubaya gani au ndo hizo sheria wanazotuka kwa miswada ya dharura. Yaani Waziri ana Phd lakini kama vile haitusaidii kabisa kwenye michezo. Kwenye sanaa nako makatazo tu kwenye michezo nako hivo hivo wakati inafahamika kuwa uwekezaji kwenye michezo ni wa kusuasua angalau Simba inaonekana kupiga hatua naona serikali anataka kuanzisha figisu figisu ili MO ajiondoe timu ianze kuhangaika. Sijui nani aliyetuloga.
Ilikuwa zaidi ya 50 hairuhusiwi, ikaonekana jamaa bado mbishi hata 49 poa, wanakomaätena. Hatari sana.Hii ni taarifa kutoka kwa Mh Waziri wa Michezo Mh Harisson Mwakyembe , ambapo amedai ili kumiliki hisa zinazofikia 49% za club ya soka basi hakuna budi wawekezaji hao kuwa angalau watatu na si mmoja , yaani club itamiliki 51% wawekezaji watamiliki 49 %
Tamko hili limetoka wapi na limelenga nini ?