Haiwezekani Serikali nzima iwe inakusanya mapato; tutajenga taifa la watu maskini na fukara!

Kimsingi kazi ya kukusanya na kusimamia mapato ya Serikali ni ya Wizara ya fedha na taasisi zake...

Jiwe hana akili wala ujanja wa kuchanga hela, yeye ana sifa moja tu ya matumizi. Hata wakati akiwa waziri hakuwa mzuri kwenye kuchanga fungu, zaidi ya kulazimisha apewe akejenge miundombinu.

Sasa hivi yeye ndio anatakiwa atafute fungu, kisha apange namna ya kulitumia, ndio maana unaona alidhani kupora hela za watu litamfanya ajenge miradi yake. Matokeo yake, miradi haijaisha, na alipotarajia kukusanya hela ameshawafanya kulimia meno.
Kimsingi kazi ya kukusanya na kusimamia mapato ya Serikali ni ya Wizara ya fedha na taasisi zake....
Jiwe hana akili wala ujanja wa kuchanga hela, yeye ana sifa moja tu ya matumizi. Hata wakati akiwa waziri hakuwa mzuri kwenye kuchanga fungu, zaidi ya kulazimisha apewe akejenge miundombinu.

Sasa hivi yeye ndio anatakiwa atafute fungu, kisha apange namna ya kulitumia, ndio maana unaona alidhani kupora hela za watu litamfanya ajenge miradi yake. Matokeo yake, miradi haijaisha, na alipotarajia kukusanya hela ameshawafanya kulimia meno.
 
Serikali imetumia vibaya fedha na sasa wanafanya fujo zote kurekebisha hali ila nafikiri kutakuwa na moto kabla ya Dec mwaka huu, hali si nzuri.
 
Anaamini watz wote ni matajiri huwaza vyanzo vipya vya kupigia Pesa mara kupima covid,mara kurusha drone,mara kufuga kuku.Kila sehemu anataka achukue hela tu sio uchumi huo.Utauwa uchumi
 
Bongo kuna mademu wazuri sana aiseee, ufe demu wako mkali umuachie Nani? Mademu wa Uganda ndio akina Anna Kansime, wafupi, flat screen, wabaya
 
Na bado waendelee sana kukusanya hiyo mikodi ya kubambikiana
 
Tuko vizuri! Tunakusanya na kuvunja marekodi ya haijawahi kutokea! Wapinzani ndio walituchelewesha sana! 5 tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…