Ng'wale
JF-Expert Member
- Nov 24, 2011
- 4,690
- 3,399
johnthebaptist ni YEYE sorry ni WEWE?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajua kwa nini alijificha?Tundu Lisu alijificha ubalozi wa Ujermani tofauti na yule mpambanaji wa ukweli wa Afrika mashariki Bob Wine!
Kimsingi kazi ya kukusanya na kusimamia mapato ya Serikali ni ya Wizara ya fedha na taasisi zake...
Jiwe hana akili wala ujanja wa kuchanga hela, yeye ana sifa moja tu ya matumizi. Hata wakati akiwa waziri hakuwa mzuri kwenye kuchanga fungu, zaidi ya kulazimisha apewe akejenge miundombinu.Kimsingi kazi ya kukusanya na kusimamia mapato ya Serikali ni ya Wizara ya fedha na taasisi zake....
Kimsingi kazi ya kukusanya na kusimamia mapato ya Serikali ni ya Wizara ya fedha na taasisi zake.
Lakini kwa sasa kila waziri amejigeuza kuwa mtoza ushuru au mkusanya tozo na kuacha majukumu yao muhimu ya kusimamia ustawi wa jamii katika sekta zao.
Jana nimemsikia Waziri wa Mawasiliano na Tehama Dkt. Ndugulile akisema halizishwi na mchango wa Tehama kwenye pato la taifa.
Kwamba mchango wa Tehama ni 0.5% tu wakati taasisi nyingi yakiwemo mabenki yanatumia mfumo huo na kwa hiyo unaweza kuchangia hadi 10% ya pato la taifa.
Tusisahau kuwa kodi na tozo zote anayekuja kulipa ni mtumiaji wa mwisho ambaye ni mwananchi wa kawaida.
Tusipokuwa makini tutamkumbuka ni yeye na kaulimbiu yake.
Maendeleo hayana vyama!
Wangeandamana wakiwa mahabusu,what a question?Huyo Tundu Lissu aliandamana?
Maalimu Seif aliandamana Zanzibar!
Mzee mgaya anasemajeHilo nalo neno!
mimi nataka mpaka nyanya na vitunguu zibandikwe stika za TRA.Tena waongeze kodi mzeee
Naona tunahitaji kodi ya matumizi ya baiskeli na maguta wailetee
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Bongo kuna mademu wazuri sana aiseee, ufe demu wako mkali umuachie Nani? Mademu wa Uganda ndio akina Anna Kansime, wafupi, flat screen, wabayaUmaskini unaupata wapi sasa. So mliambiwa muandamane kutetea maslahi yenu ya kuibiwa kura. Lissu alisisitiza sana kwamba haki haiji tu bali inapiganiwa mkaona maisha yenu ni Bora zaidi kuliko kupigania haki. Sasa unalalama Nini na Nani akusaidie zaidi ya wewe mwenyewe kujipigania.
Uganda wametuzidi angalia Bobi Wine watu walivyotayari kufa ili kupigania haki. Ila Tanzania mnakimbilia kwenye key board tu huku mmejificha. Acheni niendelee kunyanyaswa hamjawa tayari kupigania haki zenu
Hilo muhimu sana huko watapata pesa nyingi sanamimi nataka mpaka nyanya na vitunguu zibandikwe stika za TRA.
Tanooooo te........?
Na bado waendelee sana kukusanya hiyo mikodi ya kubambikianaKimsingi kazi ya kukusanya na kusimamia mapato ya Serikali ni ya Wizara ya fedha na taasisi zake.
Lakini kwa sasa kila waziri amejigeuza kuwa mtoza ushuru au mkusanya tozo na kuacha majukumu yao muhimu ya kusimamia ustawi wa jamii katika sekta zao.
Jana nimemsikia Waziri wa Mawasiliano na Tehama Dkt. Ndugulile akisema halizishwi na mchango wa Tehama kwenye pato la taifa.
Kwamba mchango wa Tehama ni 0.5% tu wakati taasisi nyingi yakiwemo mabenki yanatumia mfumo huo na kwa hiyo unaweza kuchangia hadi 10% ya pato la taifa.
Tusisahau kuwa kodi na tozo zote anayekuja kulipa ni mtumiaji wa mwisho ambaye ni mwananchi wa kawaida.
Tusipokuwa makini tutamkumbuka ni yeye na kaulimbiu yake.
Maendeleo hayana vyama!
TANROAD/Police aaaaahhh