Haiwezekani Wasabato kuhubiri neno la Mungu bila kutaja Kanisa Katoliki? Au ni mafunuo? au mbinu za kupata na kutunza wafuasi?

Wasabato wana aina fulani ya maisha yao ya kiiamni yasiyoeleweka.

Wana ubishi mwingi

Wana ujuaji mwingi

Wanaamini wanamiliki Mbingu

Kwenye uzinzi sasa......πŸ˜…
 
NDYO WALIKUWA WATU WA MUNGU NAO WALIKUWA WANASHKA SABATHO.Ndyo mana kwenye amri ya MUNGU IMEANDIKWA IKUMBUKE SABATHO KWA MAANA WANAKUMBUSHWA KITU AMBACHO KILIKUWEPO WAKAJA WAKAISAHAU UTUMWANI MISRI KWA ZAIDI YA MIAKA 400
Hivi unajua kipindi hicho cha huyo Mussa kulikua na miji mingine inawatu wengi tu wanaendelea na maisha yao, Mfano kina socrates walikua ugiriki huko....

Ndio mana anaitwa Mungu wa israeli sababu alibase kule na aliacha wengine duniani waendelee na maisha yao, Alitenga dunia nzima ili aukomboe ukoo wa kina daudi tu....


Sasa Wewe ni kabila ya watoto 12 wa Israeli? Hebu angalia alichosema yesu ;
 
Wanashindana urembo huko insta..
 
Wakikosa jirani wa kuwasuka basi wataenda saloon lakini wataishia kusuka twende kilioni, tatu kichwa au mabutu.
mbona hawaolewi sasa au mtaa ninao ishi hamna watoaji?
 
Kanisa limeanzishwa kwa misingi hiyo... Hivyo ibada zao hazikamiliki bila kuiponda RC... Lakini napenda kuwakumbusha kwamba,, watakao ingia katika ufalme wa Mungu ni wale walio kili ya kwamba Yesu ni Bwana na kuishi katika Kristo kwa kufuata na kutenda Mafundisho yake... Hivyo Usabato, U RC, Uanglicana, UKKKT, Upentekoste ama dhehebu lolote lile,,,, halimpeleki mtu mbinguni isipokuwa Kumkiri Yesu Kristo kama nilivyo eleza hapo juu...
 
The reason the majority of these so-called churches continue to exist is mainly due to their ability to make fun of Catholics; aside from that, they hardly have any real teachings for their adherents. Sad
 
Dah kumbe mtu na c MUNGU.elewa fungu hilo vzur.Kulikuwa na sheria 2 zinazokinzana SHERIA YA MUNGU NA YA MAAGIZO AMBAYO MUNGU ALIMWAMBIA MUSA AWAANDIKIE AWEKE PEMBENI MWA SANDAKU LA AGANO.Yesu alipokuja aliondoa sheria ya musa ikabaki ya MUNGU ambamo ndan yake imo sabatho.
 
Dah kumbe mtu na c MUNGU.elewa fungu hilo vzur.Kulikuwa na sheria 2 zinazokinzana SHERIA YA MUNGU NA YA MAAGIZO AMBAYO MUNGU ALIMWAMBIA MUSA AWAANDIKIE AWEKE PEMBENI MWA SANDAKU LA AGANO.Yesu alipokuja aliondoa sheria ya musa ikabaki ya MUNGU ambamo ndan yake imo sabatho.
 
mbona hawaolewi sasa au mtaa ninao ishi hamna watoaji?
Shida yao ni ile tabia ya kukuona wewe ni mkosaji na mpotevu kwa dhehebu lako mbaya ni pale anapokuwa haishi kukukosoa, hata ukirudi kazini umeloa kwa kunyeshewa na mvua lazima aihusishe dini yako na kunyesgewa na mvua. Hata mshahara ukichelewa kuingia au bank wakizingua lazima aihusishe dhegebu lako, wakati huohuo wao wana yao huko kwenye makambi.
 
Umepiga kwenye mshono, heri wenye moyo safi maana hao watamuona Mungu
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wasabato wazuri tu kwenye mafundisho ya kimaisha... Mi huwa wananikera pale tu wanapojiona wao ni spesho sana kuliko watu wote duniani. Wanajiona wao ndo wateule wa Mungu kuliko hata wana wa Israeli na madhehebu mengine wanawachukulia km wamepotoka. Kwa kifupi wanajihesabia haki
 
Alaf kwa majunguu yote bdo kanisa katoli inabaki pale pale na kusfka kwa kusimamia iman yake bila kuyumbishwa ss wa Luther tunawasifia kwailo ongeren
 
Mkuu wewe ndie umefanikiwa kuweka uhalisia wa mafundisho ya wasabato pasi na upotoshaji..alichokifanya mleta mada ni kuwasilisha hisia za chuki dhidi ya wasabato na usabato.
 
Mungu hana dini na hajifungamishi na upande wowote ule.Halafu nani aliwaambia siku ya Jumamosi Mungu alipumzika...? Imeandikwa wapi maana hata kalenda yenyewe nayo imetengenezwa na hawa hawa wakatoliki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…