Hajatokea na hatatokea Manipulator kwenye siasa kama Mobutu Seseko ila ngebe zake zote zilikoma baada ya Nyakati kumkataa

Hajatokea na hatatokea Manipulator kwenye siasa kama Mobutu Seseko ila ngebe zake zote zilikoma baada ya Nyakati kumkataa

Nakuonea huruma maana chanzo chako cha taarifa ni mpumbavu mwenzako Kenan Kihongosi.

Tunajua wewe ni mpumbavu ila kama kuzidi kuwa mpumbavu. Hakuna mahali kwenye Katiba panapompa mamlaka Rais au mtu yeyote kutoa amri kwa majeshi kuuwa watu
Unajua maana ya uhaini?, jiulize kwanini wale vijana wote walipewa kesi ya uhaini.
 
Alitengeneza mamia ya vyama vya siasa ili kuidanganya dunia kuwa Congo kuna demokrasia na vyama vingi. Vyama vya siasa vya kidalali vilikuwa vinajifanya kushindana nae kwenye uchaguzi alafu vinatangaza kumuunga mkono.

Alitegeneza machawa wa kumsifia kila kona na kwenye kila jambo kiasi kwamba ulikuwa ukiona anavyosifiwa unaweza kudhani kuwa Wacongo ni Matajiri ambao hawana umasikini hata kidogo.

Alihonga vyombo vya habari vyote kuandika habari nzuri kuhusu yeye. Hakukuwa na chombo cha habari kilichothubutu kuandika habari mbaya. Vilivyojaribu vilifungiwa au wahariri wake kupotezwa.

Alihonga wanamuziki wa Congo kutunga na kuimba nyimbo za kumsifu. Kuanzia kwenye chama chake hadi mitaani. Congo nzima ziliimbwa nyimbo za kumsifu na kumuabudu.

Mobutu aifanya haya yote huku akiua, kuteka na kupoteza wapinzani wake wa kisasa. Mobutu alifanya haya yote huku akiwa amefanya mauaji ya Patrice Lumumba aliyekuwa mpinzani wake mkuu.

Kikubwa, nyakati zilipomkataa Mobutu hakuweza kupambana nazo. Aliondolewa madarakani kwa aibu.

Pichani chini ni Chief Hangaya.
View attachment 3356674
Huyu akitoka tu madarakani, Wamarekani Wana mnyakua huko huko Kizimkazi
 
Unajua maana ya uhaini?, jiulize kwanini wale vijana wote walipewa kesi ya uhaini.
Uhaini ni nini? Uhaini unafanyikaje?

Adhabu ya mtuhumiwa wa uhaini ndo kupigwa risasi za kichwa? Kulazwa kifudifudi akiwa anaangalia mpira na kupigwa risasi za kisogoni?

Mtayaeleza hayo vizuri huko ICC alafu mtafundishwa vizuri maana ya mlich0kifanya na matokeo yake.
 
Hakuna chochote kitakachofanyika, ile tarehe 29 October imekuwa somo zuri sana kwa wanaharakati na akili zao za kijinga, huwezi kucheza na serikali ukaachwa tu utambe.

DRC unajua wameshakufa watu wangapi kule Mashariki tangu miaka ile ya 90 mwishoni?. Umeshasikia Rais wa DRC anapelekwa huko ICC?.

Somalia wameuliwa watu kuanzia mwaka 1991 umeshasikia Rais wao anapelekwa ICC?. Dola lazima ilindwe huwezi kucheza nayo halafu ukaachwa tu ufanye ujinga kwa kisingizio cha haki za kidemokrasia.

Huko USA Trump kaua raia watatu ndani ya wiki moja, nani huko ICC anao ubavu wa kumshtaki?. ICE wanafanya kazi kwa mujibu wa sheria ukijipendekeza wanakupa chuma ya kichwa.
 
Naona unaishi kwenye ombwe lako.

Stay tuned uone ICC wanavyokufurahisha.
 
Back
Top Bottom