change formula
JF-Expert Member
- Sep 8, 2020
- 729
- 1,559
Uongo huo,jiulize kwanini uwa hataji mwaka alioanza sekondari!!Mbona anatamba kuwa ana division one ya point sevon form four?
Haji hajawahi kumaliza kidato cha nne hata chuo anachosema alisoma cha uandishi wa habari uko South Africa uwa ni magumashi tu.
Jerry Muro alikuwa anamsema vizuri kuwa elimu yake ni ya madrassa tu.