Haji binafs tangu akiwa yanga kama msemaji ninamheshim bado lakini katika uwanja wa kitaalam na kitaaluma........

Mbona anatamba kuwa ana division one ya point sevon form four?
Uongo huo,jiulize kwanini uwa hataji mwaka alioanza sekondari!!
Haji hajawahi kumaliza kidato cha nne hata chuo anachosema alisoma cha uandishi wa habari uko South Africa uwa ni magumashi tu.
Jerry Muro alikuwa anamsema vizuri kuwa elimu yake ni ya madrassa tu.
 
Labda nao atawapangia
 
Kwa manara anavyopenda sifa angekuwa kweli ana division one ingekuwa kashapost tayari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…