Haji Manara Acha kuwawekea dawa wapinzani,ulianza huo mchezo ukiwa Simba SASA umeuleta Yanga

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
Unatuharibia image,hako kamchezo ulikuwa nako ukiwa Simba sasa umekakwta jangwani,Sisi tuna timu imara hatuitaji kupuliza dawa kwenye mabasi na dressing room za wapinzani.
Unatuharibia sana
 
Mijitu ya Simba sc gata fikra ni zero
 
Unatuharibia image,hako kamchezo ulikuwa nako ukiwa Simba sasa umekakwta jangwani,Sisi tuna timu imara hatuitaji kupuliza dawa kwenye mabasi na dressing room za wapinzani.
Unatuharibia sana
Weka na ushahidi hizi tuhuma ni nzito sana
 
Unatuharibia image,hako kamchezo ulikuwa nako ukiwa Simba sasa umekakwta jangwani,Sisi tuna timu imara hatuitaji kupuliza dawa kwenye mabasi na dressing room za wapinzani.
Unatuharibia sana
Hata Rivers kule kwao aliweka dawa, kule kwa klabu africane aliweka dawa yanga ikashinda na kule tp Mazembe aliwawekea dawa tp wakapigwa

Acha ujinga/ usituletee ujinga kwenye mpira

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Simba hawana hizo tabia ndio maana CAF hawajawahi kutukuta na hatia, huyo Manara na ujinga wenu usiuhusishe na Simba.
 
Unatuharibia image,hako kamchezo ulikuwa nako ukiwa Simba sasa umekakwta jangwani,Sisi tuna timu imara hatuitaji kupuliza dawa kwenye mabasi na dressing room za wapinzani.
Unatuharibia sana
Choko acha uchokozi wako wewe
 
Back
Top Bottom